KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 875
Zipo taarifa kuwa Mch Jean Felix Bamana (DRC) (45) amekamatwa kwa Kwa jarida BNG/RB/862/2013 na IR682 ya tarehe 21 Feb,2013 kosa likiwa kumutoroshwa Mwanafunzi wa St. Mary Goreth ambaye ni mtoto wa Swai na kufanya naye Zinaa kwenye hotel ya GRAND Magomeni DSM huku bill zote zikilipwa na Mama Rwakatare Mbunge Viti Maalum CCM.
Kukamatwa kwa Mch Jean kumetokea baada ya kupata sms za mapenzi alizotuma Jean kwenda kwa mtoto huyo na kukutwa na baba yake Mzazi.
Polisi walipofuatilia simu ya Mch Jean wakakuta kuna mawasiliano ya Siri na Mama Rwakatare wa Mikocheni B na Ushahidi huo ukatoa Mwanya wa Kwenda Kanisani kwa mama Rwakatare ambapo alipohojiwa alikubali kumufahamu Mch Jean na kwamba ni mgeni wake Maalumu na mhubiri wa Kimataifa.
Hata hivyo imebainika kuwa Mch Jean amekuwa anafundisha semina ya Ndoa na masomo ya Kichungaji kanisani Kwa mama Rwakatare.
Wafanyakazi wa Hotel ya Grand wamebainisha kuwa bill ya Mch Jean imekuwa inalipwa na mama Rwakatare kwa mda wote huo sambamba na watoto wengine wa Tz na Wakongo ambao wapo hapo wakisubili safari ya kwenda nje ambayo inasukwa na Mch Jean na mama Rwakatare!!
Polisi walipo fika kanisani Mama Rwakatare ndiye alikwenda kumuchukua mwanafunzi aliyetorshwa na kumuleta kanisani huku akiwasihi polisi wayamalize matatizo hayo kifamilia.
Pia haikuweza kufahamika ni kwa nini Mama Rwakatare hakutaka Mgeni wake huyo alale kwenye Jumba lake na badala yake anampeleka huko
NB.
Mwaka 2004 Mch Shansi kutoka DRC alikamatwa na kupigwa PI na serikali baada ya kujificha kanisani kwa Mama Rwakatare huku akijihusisha na Ujambazi na madawa ya kulevya hadi leo hakuna aliyejifunza.
Lipo sakata la Bi Maimuna ambalo nitaeleza baadaye ila kwa mara ya kwanza naunga mkono kauli ya Rais Kikwete kuwa wapo Viongozi wa Dini ambao wanajihusisha na madawa ya Kulevya.
Up date :
Mch Jean amepandishwa mahakamani Moshi leo kwa kosa la kufanya biashara haramu ya kuusafairisha watoto nje ya nchi !!
Hata hivyo Mama Rwakatare anachunguzwa kwa hatua za biashara hiyo yenye sifa kubwa ya ukahaba na madawa ya kulevya!
[h=1]Mchungaji asomewa mashitaka hospitalini[/h]
MCHUNGAJI Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo(DRC) Jean Felix Bamana (45) amesomewa mashitaka akiwa kitandani katika hospitali ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi mjini Moshi, akikabiliwa na mashitaka ya kusafirisha binadamu.
Mchungaji Bamana ambaye ni mlemavu wa miguu, aliibua mvutano mkubwa ndani ya Jeshi la Polisi na serikali, alikamatiwa jijini Dar es Salaam akiwa na watoto wawili ndugu ambao aliondoka nao mjini Moshi, kwa ahadi ya kwenda kuwatafutia shule.
Alisomewa mashitaka hospitalini baada ya kugoma kupelekwa mahakamani tangu jumatatu wiki hii akidai ni mgonjwa huku askari wanaomlinda wakilalamika kuwa anafanya mchezo wa kuigiza.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka mawili ambayo yanaangukia kwenye sheria ya usafirishaji binadamu namba 6 ya mwaka 2008,mashitaka ambayo hayana dhamana hivyo kupelekwa rumande katika gereza kuu la mkoa wa Kilimanjaro la Karanga.
Mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya wilaya,Naomi Mwerinde,mshitakiwa huyo anadaiwa kuwa mnamo Februari 18 mwaka huu huko Masama wilaya ya Hai,alimsafrisha(Jina tunalo) kwenda Jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka iliyosomwa na wakili wa serikali,Stella Majaliwa,mshitakiwa huyo pia anashitakiwa kwa kumsafrisha (jina tunalo) kutoka Masama wilaya ya Hai Kwenda Jijini Dar es salaam kosa ambalo lilitendekea .
Baada ya kusomewa mashitaka hayo mshitakiwa alikana na iliamuliwa apelekwe katika mahabusu ya gereza la Karanga na hadi waandishi wanatoka katika wadi namba moja ambako mashitaka hayo yalisomwa,alikuwa bado hajaondolewa.
Kesi hyo imeahirishwa hadi machi 27 mwaka huu itakapokuja kwa ajili ya kutajwa kutokana na upelekezi wa shauri hilo la jinai namba 13 la mwaka huu kutokamilika.
Kabla mahakama haijamalikiza kazi katika Hospital hiyo,mshitikiwa alilalamika kutokuwapo na huduma za vyoo vinavyokidhi mahitaji ya watu wenye ulemavu ndnai ya wadi hiyo na hata alipokuwa akitaka kituo kikuu cha polisi mjini moshi.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusomewa mashitaka hayo,mchungaji Bamana anayehudumu katika kanisa la Mikocheni B Assembles of God,aliwataka waandishi wa habari kuwasilisha kilio chake kwa mamlaka zinazohusika ili tatizo hilo la kutokuwapo na vyoo vya kukaa katika wadi hiyo liweze kutafutiwa ufumbuzi.