Mama Salma Kikwete ampongeza Waziri Makamba kuwapa mitungi 100 ya gesi, Spika atolea ufafanuzi

kitonsa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
1,211
Reaction score
2,649
Mama Salma Kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January Makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100.

Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi.

Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili ni ajili ya wabunge kwenda kwa wananchi kuwafundisha kutumia mitungi na umuhimu wa gesi.

Pia bajeti ya kuwapa wabunge mitungi 100, isiwape wasiwasi wananchi pesa imetoka wapi, Ni hela ya bajeti , ambayo wabunge wamepitisha mwaka Jana.

Swali; Kwanini spika kajitahidi sana kutetea hii issue ya mitungi mia ya Makamba?

Pia soma; Mitungi 100 ya gesi ya January Makamba kwa ufafanuzi wa Spika Tulia ilikuwa siri, Salma Kikwete karopoka bila kujua?
 
Mama salma kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100

Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi:

Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili Ni ajili ya wabunge kwenda kwa wananchi kuwafundisha kutumia mitungi na umuhimu wa gesi

Pia bajeti ya kuwapa wabunge mitungi 100 ,isiwape wasiwasi wananchi pesa imetoka wapi, Ni hela ya bajeti , ambayo wabunge wamepitisha mwaka Jana

Swali kwa Nini spika kajitahidi Sana kutetea hii isu ya mitungi mia ya makamba?
Mijizi tu! Na wewe kidude tulia tulia urudi huku nzovwe tukutoe utumbo 2025
 
Mama salma kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100

Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi:

Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili Ni ajili ya wabunge kwenda kwa wananchi kuwafundisha kutumia mitungi na umuhimu wa gesi

Pia bajeti ya kuwapa wabunge mitungi 100 ,isiwape wasiwasi wananchi pesa imetoka wapi, Ni hela ya bajeti , ambayo wabunge wamepitisha mwaka Jana

Swali kwa Nini spika kajitahidi Sana kutetea hii isu ya mitungi mia ya makamba?
Alafu uyu mama anafanya nini bungeni? Yani umekaa ikulu miaka 10 , alafu bado unaona ni sawa kuwa mbunge, hivi mzee kikwete aliweka baraka zake au uyu aliamua liwalo na liwe ,
 
Alimpa na kampeni alimpigiaam
 
mwisho wa siku leo karopoka kuusu mambo yaliyokuwa siri, kamfanya spika atoe povu
 
Alimpa na kampeni alimpigiaam
Familia imeficha mengi, kweli alionekana kwenye kampeni zake ila hatuwezi jua nyuma ya pazia, wakati mwingine mtu anafanya jambo kukwepa mauza uza katika jamii

Hivi kweli uyu mama na wa kuendelea na ubunge, alafu eti unaamushwa na spika uchangie, mama ambae umekua unampikia Rais wa nchi chakula kwa miaka 10 , kwa shida gani , kwa kukosa nini, uyu ameshindwa kulieshimisha taifa kama mke wa kiongonzi mkubwa aliemaliza mda wake
 
Back
Top Bottom