madam spika anasema ili jambo lisichukuliwe vingine, ila kutoa mitungi 100 siku moja kabla ya kusoma bajeti , kama wewe afisa takukuru uwezi kunusa harufu ya rushwa?
Huyu ajuza ni miaka kenda sasa namfahamu. Aliondokea rais furani mcorintho mwemamba cheusi kamfupi kanyimwa mwili basi bwana yule hana rekodi ya lolote jema kwa bibi huyu. Ndiye aliwafunza watanzania ujinga.
Akaja raisi yule mcheza pono pale mjengoni.. mlio tawaliwa nae mnakumbuka mapicha yaliyovujishwa na wanachuo. Basi mtawala huyu ni mwema mno kwa ajuza huyu. Anamkumbuka kwa busara na kuwatoa watanzania katika ujinga walio jazwa na bwana yule wa kwanza.
Akaja mr mipango, mr mipombe mgaratia yule. Huyu bibi hakumbuki hata nukta ya jema lililofanyika 95_2005
Akaja yule mwenye ndoa kila mkoa. Mh mahaba ya bibi huyu kwa mtawala yule hayasimuliki humu na hayaelezeki. Kila mtu aliona. Bibi alikesha kuchambana na kila aliyemkosoa hadi usiku wa manane. Bibi hakujua Esclow, meremete, ujangili, Richmonduli.. hakujua.. penzi lilimpiga upofu
Akaja bwana yule mrumi. Tinga tinga. Ajuza huyu hakumpenda kwa sura yake isiyo vutia. Hakika bwana huyu hana hata nukta ya alama ya jema aliloacha hapa nchini. Hakujenga busisi, hakujenga sgr, wala hakujenga mwalimu nyerere dams wala ikulu kwani aliua bagamoyo na kuwa bussy na mji wa kale wa chato. Hakika Taifa lilopoteza miaka kadhaa ya kutokuwa na kiongozi mbele ya macho ya Ajuza huyu. Ajuza akapotea jf
Akaja yule habadilishi ushungi, mwenda na kiti chake. Hili nalo mkalitizame. Anae zurula duniani na mtawala namba nne hapo juu. Basi mahaba kwa serikali yakamlevya ajuza huyu wa jf. Mpaka akatoa wosia kuwa sheria ya dini furani ndiyo itutawale wote. Hakika mama huyu anayoyafanya ni mengi kuliko wote tajwa hapo juu
1. Anajenga madarasa mengiiii.
2. Bajeti ya wizara ya ardhi inapitishwa kibabe
3. Anagawia wazanzibar ardhi ya bara
4. Mitungi 100 ya gesi kwa kila mbunge.
5.
Hakika anaupiga mwingi. Hii ndio akili mfu ya
FaizaFoxy