Mama Salma Kikwete ampongeza Waziri Makamba kuwapa mitungi 100 ya gesi, Spika atolea ufafanuzi

Mama Salma Kikwete ampongeza Waziri Makamba kuwapa mitungi 100 ya gesi, Spika atolea ufafanuzi

Hiyo bei uliyoweka hapo ni ya kujaza, ukiwa mpya kama walivyopewa ni 70k-75k!
Halafu si 100, ni 300...!! Plus m10 kila mmoja...
Ila Nyerere, Lumumba, samola macher, Edwardo mondrane, Tom Mboya, some one sankara... Jonas savimbi... walikuwa wazalendo na wamevifia vifo vya mateso sanaaa kupambania matumbo ya majizi haya bila huruma kipara huyu
 
Nini kinatokea Bungeni zaidi ya nusu ya Wabunge hawapo Bungeni?

Spika kaagiza wataarifiwe kuja Bungeni ili Akidi itimie.

Lazima iko jambo kuhusu RUSHWA
Bungeni mafweza yamemwagika mwaka wa mafwezaaaaaaa watu wanalala bar huko gambe gambe mziki munene kama unataka kutulia nenda dar
 
Kama Bashiru ameweza kutoka upinzani na kuwa mwana. CCM no. 2 na kuwanyanyasa wenye chama Chao. Basi inawezekana kipara akawa rais.
Yaani Kesha kuwa kwani ye Ni mmoja ya inner circle ya wezi
 
Hii nchi tutafika kanani tumechoka Sana, ama kweli mwenye nacho ndo huongezewa... Labda na sisi ngoja tusubili zamu yetu itafika.
 
Kuwa na vipaumbele ni jambo muhimu sana. VIATU NA SOCKS KIPI KINUNULIWE KWANZA? NJOO DSM UONE BARABARA YA BANANA HADI KITUNDA HADI MSONGOLA. BARABARA YA ZAMBIA aka BARABARA YA NG'OMBE toka BANANA HADI PUGU MNADANI.NA NYINGINEZO.
 
Familia imeficha mengi, kweli alionekana kwenye kampeni zake ila hatuwezi jua nyuma ya pazia, wakati mwingine mtu anafanya jambo kukwepa mauza uza katika jamii

Hivi kweli uyu mama na wa kuendelea na ubunge, alafu eti unaamushwa na spika uchangie, mama ambae umekua unampikia Rais wa nchi chakula kwa miaka 10 , kwa shida gani , kwa kukosa nini, uyu ameshindwa kulieshimisha taifa kama mke wa kiongonzi mkubwa aliemaliza mda wake
Kama na yeye anandoto za kuwa Rais hapo baadaye basi ni sawa kabisa kuwa mbunge kwa Sasa ili kupata uzoefu. Hakuna jambo lolote la ajabu hapo mfano Hilary Clinton alikuwa first Lady then baadae akagombea useneta wa New York akashinda then later akateuliwa kuwa Secretary of State.
 
Hivi hiyo mitungi imenunuliwa kampuni gani maana kampuni za gas zipo nyingi
 
Nini kinatokea Bungeni zaidi ya nusu ya Wabunge hawapo Bungeni?

Spika kaagiza wataarifiwe kuja Bungeni ili Akidi itimie.

Lazima iko jambo kuhusu RUSHWA

Kuna uzi uliletwa humu kwamba kuna rushwa imetembea bungeni, akaja Pascal Mayalla akatetea kwamba hakuna rushwa mwishowe akaleta uzi wa kumsifia Kipara!
 
Kuna jambo litafuata hapo, siyo ubunge kama unavyodhani. Kikwete hazichezei tope bila sababu.
Kwamba mzee alishapiga km 3000 mbele, ila kweli
Kama na yeye anandoto za kuwa Rais hapo baadaye basi ni sawa kabisa kuwa mbunge kwa Sasa ili kupata uzoefu. Hakuna jambo lolote la ajabu hapo mfano Hilary Clinton alikuwa first Lady then baadae akagombea useneta wa New York akashinda then later akateuliwa kuwa Secretary of State.
Mambo magum sana
 
Mama Salma Kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January Makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100.

Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi.

Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili ni ajili ya wabunge kwenda kwa wananchi kuwafundisha kutumia mitungi na umuhimu wa gesi.

Pia bajeti ya kuwapa wabunge mitungi 100, isiwape wasiwasi wananchi pesa imetoka wapi, Ni hela ya bajeti , ambayo wabunge wamepitisha mwaka Jana.

Swali; Kwanini spika kajitahidi sana kutetea hii issue ya mitungi mia ya Makamba?
Kwani mkurugenzi wa Ewuraaaa si shemeji... Hivyo yeye na marope ni chama moja ktk kula rasilimali za wananchi 😎😎
 
Kazi ni kipimo cha utu na Rostam anafanya kazi kwa bidii na akili.
Rostam kila mama alipokuwa akiruka nchi mbali mbali na Rostam pembeni, watu wengi walikuwa hawajui nini kinaendelea mpaka ilipofika baadae sana.
Kampuni ya Rostam Aziz inayohusika na uuzaji wa gesi nchini imesaini mkataba wa mabilioni na REA ili kugawa mitungi kwa bei ya ruzuku nchi nzima.
Dili hili linategemea kuongeza bilioni kadhaa katika mabilioni ya ndugu Rostam.
 
Kwani hiyo sio biashara mkuu? Kuna mgine alio omba tenda akanyimwa?
 
Back
Top Bottom