Mama Salma Kikwete ampongeza Waziri Makamba kuwapa mitungi 100 ya gesi, Spika atolea ufafanuzi

Leta picha..




Unaweza kuta ra ndio financier wa kampeni na asali
 
Yaani kama Nchi haina mipango hadi itgemee watu binafsi! hii ni aibu sana! hao Mabalozi mliowajaza kila nchi ni wa kazi gani?
 
Jina lako lina sadifu, hiyo Aya ya deal hili lita ongeza bilioni katika mabilioni ya rostam😂😃
 
Kampuni yingi zimepata Tenda hiyo, ikiwemo lake oil, orxy ,oil com, Taifa gas. Na inavynekna ni kamradi la bilioni around 12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…