Mama Samia akiweza kuvuka 2025, yatakuwa maajabu mapya ya ulimwengu!

Fisiemu haitegemei kura za wananchi kubaki madarakani , walidhihirisha hilo 2020.

Katiba mpya katiba mpya kwa nguvu zote na akili zote na kila aina ya resources.
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Atavuka hadi 2030 amalize muda wake maana hakuna la kufanya kama wananchi ambao tumekuwa keyboard warriors tu. Baada ya week mbili kila story huwa inaisha tu
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
We nawe!!?

HUWA anavushwa na mfumo hajivushi mwenyewe!

Unafikiri kama mfumo haumtaki atakaa ikulu HADI leo!!?

Anavushwa na waliomteua atuvushe!!
 
Kwa aina hii ya Raia? Huyo ahata 20100 anaweza tawala, hii nchi hata mtoto wako Mchanga anaweza itawala, Hii ndio ncji simple kutawala Dunia nzima
ACHA kulaumu Raia mkuu unataka wafanyaje!!?

Marekani walimpa kura za kutosha secretary clinton lakini nani alishinda!!? HADI wakaandamana Lakini hola Trump akapeta !!?
Raia hawana lao Mkuu bali system ina lao!!
 
Hapendwi,haaminiki na pia hana uwezo ila tuna bahati mbaya mno kama Taifa kuwa atapita.
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Kama kura zitapigwa kupitia simu za smartphone labda anaweza asishinde, lakini wapiga kura halisi wengi wao hata huo muda wa kuingia jamiiforum hawana na pengine hata hawaijui, hawajishughulishi na mitandao kwa ujumla.

Ni mara chache vyama vingine vya upinzani kuwafikia hawa watu kwenye hiyo mikutano michache wanayofanya kina Mbowe,Lipumba na Zitto.

Hawa watu ambao ndio wengi wanapiga kura, CCM wanaishi nao kwa maisha ya kila siku.
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Ana uwezo mdogo kuwahi kutokea. Ni aibu nchi kuendelea kuwa na kiongozi wa namna hii. Aondoke kwa usalama wa nchi
 
ACHA kulaumu Raia mkuu unataka wafanyaje!!?

Marekani walimpa kura za kutosha secretary clinton lakini nani alishinda!!? HADI wakaandamana Lakini hola Trump akapeta !!?
Raia hawana lao Mkuu bali system ina lao!!
Hebu fafanua system ni nini hasa na nini kinaiongoza katika kufanya na kufikia muafaka wa jambo lao??? Nini kimeiongoza na kufikia muafaka kuuza bandari za Tanganyika???
 
UNAFIKIRI ni maamuzi ya mama pekee!!!?

System ungekua haipo upande wake hata uwezo wa kutia saini asingekua nao!!

Inawezekana system imeona ibinafsishe ili ikusanye kodi ya kueleweka kuliko kutengeneza mapato toka KWA usimamizi wa wabongo ambao una mianya ya wizi na kukosa ufanisi kabisaa!!

Tusubiri tuone faida tutakayopata!!!
 
Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Sahihi kabisa, nami pia ndivyo ninavyomuona.

Kama tungekuwa na Katiba nzuri na mfumo mzuri wa utawala pamoja na taasisi imara - Rais Samia angeweza kuwa one of the very best presidents in the world.

Her personality and style doesn't suit this crap party and system. I fear She might ended up being a good square peg in a a horrible round hole! She may ended up as a victim instead of a heroin.

I hope she reads and consider our heartfelt advice.
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Havuki..ila atavushwa .
 
Back
Top Bottom