Mama Samia akiweza kuvuka 2025, yatakuwa maajabu mapya ya ulimwengu!

Shaba nyingi huko Katavi inanyeshewa mvua tu Mama apeleke wawekezeji.
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Mama SSH anao uelewa mpana sana wa kinachoendelea tofauti na baadhi yetu tulioamua kuwa mawakala wa Kenya wenye hasira kwa kukosa hii biashara ya bandari na reli.

Mama SSH sisi wachache tutaendelea kumuunga mkono tukielewa ugumu wa kutimiza majukumu mazito yenye lengo la kuipeleka nchi katika uchumi wa juu kuliko hapa tulipo.
 
Mbona asilimia kubwa ya watz ulewa ni finyu
Kama wewe ni mtanzania cha kufanya ni kuiombea hii nchi ina wajinga wengi sana. Watu rahisi sana kununulika na kutumika bila yao kujua kama wanatumika, nchi imejaa mazezeta.
 
Atavuka mbona Kikwete alivuka akamaliza na bado anamalizia ila huyo baba na mpendaga sijui nani anikutanishe naye japo ni muhug total I wish I hug you Mr Kikwete yaani nakupendaga tu hakuna reason akiongeaga na feel safe , ...... Walahi naona huyu president ni wahaki Tena na tena
 
Mama Yuko POA sana tatiizo lipo kwa mpango,majaliwa,tulia,makamba,nape,na mwigulu awa watu ni wanafki sana ukiwasikiliza wanakuingiza chocho na awamsaidii vema mama
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Ni MUNGU tu ndio anaweza amua lakini kwa Wanadamu Samia Suluhu Hassan ni Rais hadi 2030 tumkabidhi Mwinyi kijiti
 
Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.

Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.

Ni bandari tuh au kuna kingine kakosea? Maana kama ajira tumeona kama utawala wa kidemokrasia tuliotaka tumeona,hata huo mkataba wenyewe wa bandari ulipodikishwa bungeni ili sehem yenye makosa ijadiliwe niambie nn kilitokea au wataka kuleta chuki
 
Hahahaaa!.Wivu,uchoyo,roho mbaya na ubinafsi wenu haviwezi kumrudisha mama Sa100 nyuma.Nenda mama ukaiponye nchi.
JamiiForums-1780424258.jpg
 
Hapendwi,haaminiki na pia hana uwezo ila tuna bahati mbaya mno kama Taifa kuwa atapita.
Wakati jpm akiwa hai!alipendwa na nani!!? ZAIDI ya mataga!!?

WENGI tumempenda baada ya kukata Moto!!
Hata samiah tutampenda akisha maliza muda wake!!
 
Back
Top Bottom