Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Wakifanikiwa TZ itaheshimiwa.Nakukumbusha before Hilo Kuna kikao nyeti zaid ya Hiko na ndicho kilicho muondoa Mh Lowasa. Kwenye hicho kikao huwa yeye sio mjumbe anajuwa mjumbe kama hataki kuendelea. End
Atavuka hadi 2030 amalize muda wake maana hakuna la kufanya kama wananchi ambao tumekuwa keyboard warriors tu. Baada ya week mbili kila story huwa inaisha tuKwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.
Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
🤓🤣Mama uza na airport 🤣🤣
Na hawatoaminiNani kakudanganya ccm wanategemea kura?
Hakika mkuu,Kwa aina hii ya Raia? Huyo ahata 20100 anaweza tawala, hii nchi hata mtoto wako Mchanga anaweza itawala, Hii ndio ncji simple kutawala Dunia nzima
We nawe!!?Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.
Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
ACHA kulaumu Raia mkuu unataka wafanyaje!!?Kwa aina hii ya Raia? Huyo ahata 20100 anaweza tawala, hii nchi hata mtoto wako Mchanga anaweza itawala, Hii ndio ncji simple kutawala Dunia nzima
Kama kura zitapigwa kupitia simu za smartphone labda anaweza asishinde, lakini wapiga kura halisi wengi wao hata huo muda wa kuingia jamiiforum hawana na pengine hata hawaijui, hawajishughulishi na mitandao kwa ujumla.Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.
Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Ana uwezo mdogo kuwahi kutokea. Ni aibu nchi kuendelea kuwa na kiongozi wa namna hii. Aondoke kwa usalama wa nchiKwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.
Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Sahihi kabisa !"A week is a long time in politics".
-Harold Wilson, former British Prime Minister.
Hebu fafanua system ni nini hasa na nini kinaiongoza katika kufanya na kufikia muafaka wa jambo lao??? Nini kimeiongoza na kufikia muafaka kuuza bandari za Tanganyika???ACHA kulaumu Raia mkuu unataka wafanyaje!!?
Marekani walimpa kura za kutosha secretary clinton lakini nani alishinda!!? HADI wakaandamana Lakini hola Trump akapeta !!?
Raia hawana lao Mkuu bali system ina lao!!
UNAFIKIRI ni maamuzi ya mama pekee!!!?Hebu fafanua system ni nini hasa na nini kinaiongoza katika kufanya na kufikia muafaka wa jambo lao??? Nini kimeiongoza na kufikia muafaka kuuza bandari za Tanganyika???
Sahihi kabisa, nami pia ndivyo ninavyomuona.Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.
Havuki..ila atavushwa .Kwa haya yanayoendelea sasa hapa Tanzania (ufujaji, upigaji na udalali wa rasimali za taifa), ni mwendewazimu pekee ( tena aliyevaa shati la kijani) anayeweza kuamini kuwa, Mama Samia anaweza kushinda kiti cha urais mwaka 2025. Naandika haya nikiwa na uhakika kamili kuwa, watanzania wengi sana (wakiwemo wanaCCM na makundi ya wanawake) wanamuona mama Samia kama kiongozi muoga, dhaifu na anayeongozwa kifikra na mtu au watu fulani wenye maslahi binafsi.
Mimi binafsi ninamuona Mama Samia kama kiongozi muungwana lakini mwenye uwezo mdogo wa kuweza kuongoza taifa.