Mama Samia akiweza kuvuka 2025, yatakuwa maajabu mapya ya ulimwengu!

Je hukubahatika kupata japo "kapicha" kamoja,
 
Ni kiongozi muungwana Ila kazungukwa na kundi ambalo hawezi kujitoa, na bila Shaka wanamkaririsha kwamba Watahakikisha anashinda kwa kishindo. Tupiganie KATIBA kumaliza huu ugomvi.
nikisema JPM alikuwa rais bora kabisa aliyeweza kujisimamia msinishambulie haya ni maoni tu yangu lkn kwa hili la bandari limenihuzunisha sana tena sana kuona viongozi tuliowapa dhamana wakidanganya kweupe wananchi.shame on them.
 
[QUOTE="Amazon2, post: 46774852, member: 561461"
Ukitaka kuwa na siha njema...achana na siasa za Tanzania
[/QUOTE]
Kuacha ni vigumu kwani ziinaa athiri maisha yetu hata usipohusika.
 
Hii nchi ilikuwa bado haijafikia hatua ya kutawaliwa na Rais Mwanamke.

NB: Naomba nisieleweke kama mbaguzi. Ninawapenda akina mama. Na wana mchango mkubwa sana katika maisha yangu. Ika nina sababu za msingi.
Inategemea ni mama wa aina gani mliyemweka,mwendazake alimchagua maza kwakua aliona ni clueless hatimzuia ktk kuendesha serikali yake,na hilo lilijidhihirisha ktk utawala waka hakuwah mshirikisha mambo ya msingi, inshort alikuwa ceremonial vp,ndo mana alitaka kujiudhulu ,so we failed from the beginning.Wanawake capable waligombea ila kutokana na mfumo dume hawakutoboa🙏
 
Nani wa kumzuia? Hizo kura zinazopigwa za urais unadhan ndizo huamua matokeo? Think about it!!
 
Ingekuwa sanduku la kura ndiyo linalotupatia viongozi kweli ingekuwepo hatihati ya kuchaguliwa kwake lakini kwa mfumo wa wizi wa kura na mabavu ya vyombo vya dola atakuwepo sana tu hadi 2030 labda Maulana atuamulie vinginevyo.
 
Mungu upanga alitakolo na ndiyo imekuwa hivyo.
Pia kumbukeni kurudisha marejesho hapa JF pindi mama atakapo endelea kuwaprove wrong.
 
Hii nchi ilikuwa bado haijafikia hatua ya kutawaliwa na Rais Mwanamke.

NB: Naomba nisieleweke kama mbaguzi. Ninawapenda akina mama. Na wana mchango mkubwa sana katika maisha yangu. Ika nina sababu za msingi.
Hapana. Useme nchi za Afrika hazikuwa tayari (hazikujiandaa) kujitawala. Huo ndio ukweli.

Afrika ilibidi itawale kwa miaka 80-100 zaidi ili iweze kujitawala. Wenye akili zao wanalifahamu vizuri hilo suala.
 
Anaweza kubadili upepo mpaka watu wakashangaa akitumia formula ya papo kwa hapo yaani afanye mambo yenye matokeo ya papo kwa hapo, kama ni barabara basi zinajengwa usiku na mchana zinakamilika haraka sana, huduma za papo kwa hapo kama ni kupunguza umeme au kupata gesi basi zoezi linakuwa la haraka kama moto wa mabua, kama ni wawekezaji basi wanapewa muda mfupi kujenga miundo mbinu na watu wakiwa wanapata Yale matokeo Wala hata wanasahau walivyokuwa wanalalamika, yaani kazi za Jana nilipita niliona kiwanja Leo jumba limejengwa huwa zinaokoa sana.

Ila Sasa hizi nchi zenye uchumi mdogo na miradi inafanywa polepole huku watu wakipoozwa wawe na subira ikiwa hivyo kelele zitakuwa nyingi hiyo 25.
 
Hii nchi ilikuwa bado haijafikia hatua ya kutawaliwa na Rais Mwanamke.

NB: Naomba nisieleweke kama mbaguzi. Ninawapenda akina mama. Na wana mchango mkubwa sana katika maisha yangu. Ika nina sababu za msingi.
Nchi gani imeendelea kwa kuongozwa na mwanamke?
 
Ila kwa Tz atavuka tu tena kwa KISHINDO
 
Ni kiongozi muungwana Ila kazungukwa na kundi ambalo hawezi kujitoa, na bila Shaka wanamkaririsha kwamba Watahakikisha anashinda kwa kishindo. Tupiganie KATIBA kumaliza huu ugomvi.
Rost Tamu na kundi lake
 
Kama system imeshindwa kupambana na wizi wa ndani wa nje watauweza?
 
Kama system imeshindwa kupambana na wizi wa ndani wa nje watauweza?
Wanajua na wao wanaiba nini!!?

Usikute hata marais wa nje ambao wewe unawajua ni wa nchi hiyo kumbe ni watz na wanashiriki kuiba KWA ajili yetu!

Ujasusi wa kiuchumi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…