Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

Mama anaxheza na coronavirus shauri yake na hii nyomi bila tahadhari tujiandae na janga lingine. Watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
mnapopuuza huu ushauri ongezeni idadi ya majeneza mazuri muwapime kabisa
 
Reactions: BAK
Joe Biden kachanjwa lakini muda wote kavaa barakoa.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
... that's the meaning of leadership! Unavaa barakoa sio kwa ajili yako zaidi ni kwa ajili ya kuwakinga wengine!

dudus Kwa hiyo Joe Biden kachanjwa lakini bado anawakinga wenzie wasipate corona kwa kuvaa barakoa yake😐😐
Kwa maana hiyohiyo ni kwamba Chanjo haifanyi kazi na Biden ana corona kwa hiyo anavaa barakoa asiwaambukize wengineπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Kama watu walivyo jazana pale uhuru lazima kutatokea mlipuko wa hatari
... hatari sana Mkuu. Ila Mama Janet ameonekana akishuka kwenye ndege Dodoma jioni hii akiwa ndani ya barakoa hongera kwake ameokoa makumi ya watu. Pia hongera kwa viongozi wa kanisa pale uwanjani (Uhuru) jana kwa kutuma ujumbe mzito kwa jamii kwa zile barakoa ambazo kila mmoja alivaa.
 
Chahali kule twitter umeblock hata tunaotembelea tu kukusoma, tatizo nini? - Ondoa tofali kwanza kisha mambo mengine yaendelee
 
Reactions: BAK
Na mtaendelea kumuona kaanza vibaya pale majina ya watarajiwa wenu kwa nafasi ya umakamu yaliyo kwenye kale kabeg ka walozi kuacha kutajwa kuziba nafasi.

Walalahoi na maskini leo wametoa demo kuwa wanaweza kuvunja uzio wakiamua. Mwaletee wateule mafisadi muone kama uzio wa kasiri la mfalme hauta vunjwa.
 
Kwa kauli za huyu jamaa maana yake usipotambua covid lazima ikuue hii project kwa Tanzania nadhani wakubali imefeli waanzishe project nyingine
haha yaani ni moja ya foolish statement umeandika hapa. sidhani hata kama ana maana hiyo. simply ugonjwa wowote ukiuchukulia powa lazima ukudhuru.. sio lazima ukuondoe.
 
Vifo vya kutisha kwa idadi kubwa vinakuja Mkuu. Mwezi ujao kutakuwa na vilio vya kusaga meno. Upumbavu wa baadhi ya Watanzania ndiyo chanzo cha maambukizi na vifo vya kutisha nchini.
tatizo mmeichukulia barakoa kama chama pinzani. mmeshazika wengi mpaka kinara wa kupinga barakoa, ajabu bado mmekaza shingo
 
Mama D wacha ubishi.

Corona ipo na inaua, this negligence ya watu kwa kiasi kikubwa imechangiwa na Magufuli ambaye leo hayupo, hebu jiulize akitokea mtu mmoja au wawili mwenye maambukizi kwenye hiyo mikusanyiko watakufa wangapi?

Watu waambiwe kweli wavae barakoa atleast kujilinda, kutovaa barakoa eti kwasababu watu hawaambukizani kwenye mikusanyiko( japo sina hakika na hili) kuna siku tutalia na kusaga meno, na hapo ndio tutaanza kuzika kila nyumba kila siku, tusifike huko, tuchukue hatua za kujilinda sasa.
 
Reactions: BAK

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu ni bingwa wa kublock kule Twitter.
Chahali kule twitter umeblock hata tunaotembelea tu kukusoma, tatizo nini? - Ondoa tofali kwanza kisha mambo mengine yaendelee
 
Kama anasema hakuna acceleration due to gravity, mwache apande juu ya mti ajiachie, majibu atayapata
 
Group linalomzunguka ndio linampumbaza namshauri alitimue lote... Akae sana na Kikwete atamsaidia Kikwete hajawahi Shindwa vita yeyote even Marehemu alimtafuta sana akaambiwa utaondoka wewe Jk Mtoto wa Mjini
Group linalomzunguka ndio linampumbaza namshauri alitimue lote... Akae sana na Kikwete atamsaidia Kikwete hajawahi Shindwa vita yeyote even Marehemu alimtafuta sana akaambiwa utaondoka wewe Jk Mtoto wa Mjini
Mtoto wa mjini jk naona anaanza kupasha jinsi gani atachukua usukani wa nchi kwa mlango wa uwani. Mama akizembea nchi inarudi kulekule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…