Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

Muacheni na huyo sawaa manabii.
Haya mambo yenu ya kupangia watu ndo maana wanakuwa na VIBURI.
Magufuli kafa na msimamo wake.
Muacheni akiona umuhimu ATAVAA.
Tusipangiane
 
Aisee swala lala Mama Samia kutokuvaa barakoa limenishangaza na kunisikitisha sana.
Wasaidizi wa Rais Samia wajue usalama sio kuvaa miwani nyeusi na kuzungusha shingo huku na kule bali ni kumlinda muhusika dhidi ya mashambulio yote ikiwemo mashambulio ya kibaolojia kama hili la Corona.
Yeye na aliyekua boss wake watakua wanajua mbwinu😎
 
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).

But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...

Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.

Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.

I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.

I stand to be corrected.

Uandishi wa kisharobaro huu, ni kwa nini usingeandika kwa lugha moja tu?
 
... hujaelewa ulicho-quote. Mama Janet kaonekana hadharani na barakoa leo; una maoni gani?
Nijibu kwanza hilo la Biden nililouliza na unisaidie kuelewa, ndio nipate la kukuambia kuhusu Janet
 
Pumbafu sana nimekublock kwakuwa una akili za kitoto, unaleta matusi ya nguoni kwenye jukwaa la ma GT?
Wewe nae ni GT?? Mmawia wa Kilambo hata sentensi tatu za kingereza huwezi andika
 
Evarist Chahali nani aliyekwambia Barakoa ndo inakinga Corona ? au akili zako na uwezo wako wa ufahamu ndo umeishia hapo?

Corana haiambukizi kwa njia ya hewa yani kupumua corona virus ili kutoka kwa mwanadamu mmoja kwenda kwa mwingine kunaitajika kuwepo na third part ambapo ni contaminated area ambapo victim anagusa

Katika njia zote ambazo wataalamu wa afya wanasema zote zinalenga kitu kimoja tu ambacho ni maji maji yanatoka kwa njia ya mdomo na pua na ndo njia ambazo virusi wa corona wanaingia kupitia sehemu hzo. Je huoni kwamba tunavaliswa barakoa hili kutuzuia tusiguse pua au mdomo? kwani akiwa na hand sanitizer hawezi kuwa protected dhidi ya virusi vya corona? kama target area ni kushika midomo na pua?

Kingine tazama madhara ya kuzuia Respiratory system na Gas exchange hasa kwa wenye magojwa ya Moyo,Kisukari,Figo na kisukari? hivi unajua hewa unayovuta na kutoa unapovaa barakoa inakuwa ktk form gani? je ni Oxygen au ni mchanganyiko wa Oxygen na Carbon dioxide?

Why turisk wagojwa wa magojwa hayo kwa hoja ya kuzuia mtu kugusa mdomo na pua je hatuwezi kutumia njia zingine kama kunawa mikono na kutumia vitakasa mikono (Hand sanitizer) kuliko kucheza na mapafu na organs zingine 27 ambazo kwa pamoja zinakamilisha mfumo wa upumuaji?
Mi siyo mwanasayansi lakini andiko lako wewe mbongo ambaye haujawai fanya research hata moja lina upotoshaji kuhusu barakoa.
Wanasayansi haohao walioeleza jinsi ya maambukizi covid, wameitaja barakoa kama ni kinga ya covid kwenye mkusanyiko ambapo mtu yeyote(asiyevaa barakoa) akikohoa ama kupiga chafya na hayo majimaji unayoyasema yakampata mwingine(asiyevaa barakoa) hapo infection inaweza tokea kirahisi.

Lakini baadae wakaja kusema covid kama alivyo ana uwezo wa kukaa hewani for some seconds,, saa muda huo kwa mtu ambaye hajavaa barakoa anaweza contact.

Lakini juhudi zote hizo za kupinga barakoa ni majaribio yako ya kutaka kuenzi juhudi za mzee.
Ametangulia mbele za haki.[emoji120]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).

But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...

Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.

Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.

I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.

I stand to be corrected.
Amekosea sana
 
Tumechoka kuwa na misiba mikubwa Mikubwa ni mzigo mkubwa kwa wipa kodi na wahisani. Vaeni barakoa bana.
 
Muacheni na huyo sawaa manabii.
Haya mambo yenu ya kupangia watu ndo maana wanakuwa na VIBURI.
Magufuli kafa na msimamo wake.
Muacheni akiona umuhimu ATAVAA.
Tusipangiane
MATAGA kazini
 
Lisu wakati wa kampeni alikua anavaa barakoa?au ni unafiki tu unawasumbua
huna akili wewe jamaa,kwa hiyo hamvai barakoa kwa sababu ya Lissu? ndio maana mnakufa kisenge mnakenua tu kwenye majeneza. mnazidi akili na ng'ombe
 
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).

But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...

Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.

Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.

I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.

I stand to be corrected.
Hiyo ni heads up kwa Mama, forewarned is forearmed, ushauri sio ushawishi.
 
huna akili wewe jamaa,kwa hiyo hamvai barakoa kwa sababu ya Lissu? ndio maana mnakufa kisenge mnakenua tu kwenye majeneza. mnazidi akili na ng'ombe
Pumbavu sana wewe,kwani wewe mwili wako ni keki saaana hufi?machadema ni mambumbumbu,mtakaa ivyo ivyo kupinga mpk mfe. Na magu aliwanyoosha mkabaki mitandaoni tu.
 
Back
Top Bottom