Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).
But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...
Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.
Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.
I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.
I stand to be corrected.
Eti kuinusuru Tz na janga la corona, hivi ww ni kichaa pia!? Kuna nchi gani ukiacha Tz ambayo hali ya corona imenusurika!? Hivi tulivyo we are better off kuliko nchi yeyote duniani! Ww unaeona hali ya Tz ni mbaya hama nchi au vaa barakola tatutatu, na ujifungie ndani!
Kaa kila second corona corona, barakoabarakoa upuuzi kabisa mfyuuuuuu!
Kwa taarifa yako huyu mama anaweza na asivae barakoa ili ww na wspuuzi wenzio mnaotaka awafurahishe muendelee kununa sasa mfyuuuuuu!