Mama Samia jitathmini unaoenekana kuchanganyikiwa!.
Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako? Kiasi cha kuwaweka kizuizini kama Nchimbi. Je unafikiri Deo anajali chochote au yupo tofauti au kwabababu ni mpigaji mzuri aka mla rushwa atakaa hapo kama biashara tu na kufuata upepo.
Lakini sasa humuanimi tena waziri mkuu kuna njama za kumuondoa. Hapahapa humuamini Lissu walau Lissu ni tofauti za kisera. Lakini wakati umashuhuri wako unashuka wa Lissu na nyota yake inaendelea kupanda. Mpaka leo haijulikani unataka kuacha alama gani maana maendeleo mengi watanzania watasema ni Magufuli. Kikwete amesha chakaa sio wa kumtegemea tena. Familia sasa huna mume hizo pesa unazotafuta unataka ule na nani kama familia yenyewe siku yeyote inaweza kuyeyuka.
Kitu kimoja cha kurudisha heshima, utulivu ni kutuletea katiba tena katiba nzuri. Bila hivyo utamaliza muda wako wa kukimbizana kama hivi kila siku wakati nchi kama Ethiopia uchumi unakuwa kwa 9% kwa mwaka huu. Badilika mapema sana kawa ungewasikiliza wakina Lissu wakupe miaka mitatu ya kutengeneza katiba ungekuwa umetulia sasa endelea kusikiliza machawa wako utaishia pabaya