Mama Samia jitathmini unaoenekana haupo sawa kabisa. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako?

Mama Samia jitathmini unaoenekana haupo sawa kabisa. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako?

Pascal Mayalla kaka mkubwa saidia na hili najua unaelewa..
hadi kufikia mwaka 1985 nyerere alikuwa final say katika taifa hili, hakuna aliyekohoa kwake kichama na kiserikali...
mwaka huo aling'atuka madaraka mwaka mmoja baada ya mapinduzi kufeli, matamanio yake yalikuwa ni salim ahmed salimu kuwa rais wa jmt,
Ni kweli, kwenye kugombea urais, sio wagombea wote wanautaka kweli urais, kuna wengine ni wanashawishiwa ili wawe pace makers wa wagombea pangwa.

Ni kweli Nyerere alimtaka Dr. Salim, ili asionekane ana mtu wake wa mfukoni, Mwinyi akashawishiwa ili awe pace maker wa Dr. Salim, na mpango ulikuwa wakiingia mkutano mkuu, Mwinyi ilikuwa akatae, ili abaki Dr. Salim awe picked!, kufika kule,Mwinyi akakausha kujitoa,na wajumbe wa Wazanzibar, wakampiga Dr. Salim zengwe, la Hizbu hivyo kumgomea kata kata na kuongezea hajawahi tamka neno ”Mapinduzi Daima!”, hivyo Mwalimu akajikuta hana jinsi,akawakubalia ndipo Mwinyi akawa mgombea.
na zilikuwa hazipandi na mwinyi senior...Ni nani huyu alimbadilisha nyerere hadi akamkubali mwinyi kuwa rais wa jmt?
Hakuwahi kumkubali, na kiukweli alimsimanga sana!. Kipindi chote cha Mwinyi,hakuwahi kufanya press conference yoyote!,press za Ikulu alizifanya Balozi Choks, lakini Nyerere,kupitia wale wadosi wa Dar es Salaam Press Club,alikuwa anafanya Press conferences na kumtukana mjinga!
kulikuwa na deep state au mtandao ambao ulikuwa na uwezo wa kubadili mawazo ya nyerere?
No haikuwepo, ni Wanzanzibari walimgomea Dr.
kumbuka timbwili hili liliendelea hadi wakaanza kuchorana vibonzo kwenye gazeti la mfanyakazi hali iliyopelekea gazeti hlo kufungwa mapema 1990's.
Hii sikuijua!.
P
 
Huyu Mama ndiyo nataka wakati huu ajue kabisa anataka kuacha nini cha kumkumbuka. Mimi simsemi natoa facts tu hapa na kumpa ndondo za kumsaidia yeye na nchi. Machawa ndiyo wamemfikisha hapa. Sijawahi kuona wanaume wanapiga magoti kutoa pole kama wakati huu. Uchawa unaweza kumfanya mtu awe kama mwanamke! Nimeona wasanii wanapiga magoti!!!
NDululu baba, Masanja alilikimbia kanisa akafuata ndululu barabarani usiku na mchana.
 
Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.
VP Dr. EN hajawekwa kizuizini, nimeelezwa na ile sauti kuwa ni ni yeye mwenyewe ndie ameamua kutulia

Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza!​

P
Mkuu mbona yeye hakuacha wale ndugu waliofiwa na wapendwa wao kwa kupigwa risasi watulie kwanza?badala yake ni vichambo mwanzo mwisho, acha avune alichakipanda ebo
 
Mama Samia jitathmini unaoenekana kuchanganyikiwa!.

Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako? Kiasi cha kuwaweka kizuizini kama Nchimbi. Je unafikiri Deo anajali chochote au yupo tofauti au kwabababu ni mpigaji mzuri aka mla rushwa atakaa hapo kama biashara tu na kufuata upepo.

Lakini sasa humuanimi tena waziri mkuu kuna njama za kumuondoa. Hapahapa humuamini Lissu walau Lissu ni tofauti za kisera. Lakini wakati umashuhuri wako unashuka wa Lissu na nyota yake inaendelea kupanda. Mpaka leo haijulikani unataka kuacha alama gani maana maendeleo mengi watanzania watasema ni Magufuli. Kikwete amesha chakaa sio wa kumtegemea tena. Familia sasa huna mume hizo pesa unazotafuta unataka ule na nani kama familia yenyewe siku yeyote inaweza kuyeyuka.

Kitu kimoja cha kurudisha heshima, utulivu ni kutuletea katiba tena katiba nzuri. Bila hivyo utamaliza muda wako wa kukimbizana kama hivi kila siku wakati nchi kama Ethiopia uchumi unakuwa kwa 9% kwa mwaka huu. Badilika mapema sana kawa ungewasikiliza wakina Lissu wakupe miaka mitatu ya kutengeneza katiba ungekuwa umetulia sasa endelea kusikiliza machawa wako utaishia pabaya
Kitu kimoja cha kurudisha heshima, utulivu ni kutuletea katiba tena katiba nzuri. Bila hivyo utamaliza muda wako wa kukimbizana kama hivi kila siku wakati nchi kama Ethiopia uchumi unakuwa kwa 9% kwa mwaka huu. Badilika mapema sana kawa ungewasikiliza wakina Lissu wakupe miaka mitatu ya kutengeneza katiba ungekuwa umetulia sasa endelea kusikiliza machawa wako utaishia pabaya🙇🏿‍♂❗
 
Mpaka leo haijulikani unataka kuacha alama gani
Alama alisha iacha Oct 29 ..unataka aache alama gani tena????

Hata kabla ya Oct 29 alishaacha alama ya kuua na kuteka, na kufira...

Hivi mnauliza maswalu gani?????
 
Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.
VP Dr. EN hajawekwa kizuizini, nimeelezwa na ile sauti kuwa ni ni yeye mwenyewe ndie ameamua kutulia

Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza!​

P
Kwa hiyo hata hawezi kwenda kutoa faraja kwa Rais wake. EN atakua kwenye dentention mkuu
 
Huyu Mama ndiyo nataka wakati huu ajue kabisa anataka kuacha nini cha kumkumbuka. Mimi simsemi natoa facts tu hapa na kumpa ndondo za kumsaidia yeye na nchi.
Maadam amefiwa na sasa ni mjane,kiutu kitu cha kwanza ulitakiwa kufanya ni kutoa pole,sio kumsimanga mfiwa tena akiwa bado kwenye edda!
Machawa ndiyo wamemfikisha hapa. Sijawahi kuona wanaume wanapiga magoti kutoa pole kama wakati huu. Uchawa unaweza kumfanya mtu awe kama mwanamke! Nimeona wasanii wanapiga magoti!!!
Ni kawaida sana, kila siku tunawaona wanaume wanapiga magoti kuwapigia wanawake kwenye “will you marry me?” na wanapiga goti moja na kuvisha pete,ki Afrika wanawake ndio wanapiga magoti mawili!.

Hakuna ubaya wowote mtu kumpigia magoti ya heshima mtu mwingine yeyote as long as magoti hayo ni ya heshima tuu kutokana na heshima na upendo na sio magoti ya kumsujudia au kumtetemekea kwasababu ni rais!
P
 
Pascal Mayalla kaka mkubwa saidia na hili najua unaelewa..
hadi kufikia mwaka 1985 nyerere alikuwa final say katika taifa hili, hakuna aliyekohoa kwake kichama na kiserikali...
mwaka huo aling'atuka madaraka mwaka mmoja baada ya mapinduzi kufeli, matamanio yake yalikuwa ni salim ahmed salimu kuwa rais wa jmt, na zilikuwa hazipandi na mwinyi senior...Ni nani huyu alimbadilisha nyerere hadi akamkubali mwinyi kuwa rais wa jmt? kulikuwa na deep state au mtandao ambao ulikuwa na uwezo wa kubadili mawazo ya nyerere?

kumbuka timbwili hili liliendelea hadi wakaanza kuchorana vibonzo kwenye gazeti la mfanyakazi hali iliyopelekea gazeti hlo kufungwa mapema 1990's.
INawezekana ni kwa sababu SAS alikuwa anazaniwa yuko karibu na kundi la waislamu wenye msimamo mkali.
Pia SAS alikuwa na maadui wengi.
 
Maadam amefiwa na sasa ni mjane,kiutu kitu cha kwanza ulitakiwa kufanya ni kutoa pole,sio kumsimanga mfiwa tena akiwa bado kwenye edda!

Ni kawaida sana, kila siku tunawaona wanaume wanapiga magoti kuwapigia wanawake kwenye “will you marry me?” na wanapiga goti moja na kuvisha pete,ki Afrika wanawake ndio wanapiga magoti mawili!.

Hakuna ubaya wowote mtu kumpigia magoti ya heshima mtu mwingine yeyote as long as magoti hayo ni ya heshima tuu kutokana na heshima na upendo na sio magoti ya kumsujudia au kumtetemekea kwasababu ni rais!
P
Don't wory there are enough guns and roses to keep us together.
 
Back
Top Bottom