Maadam amefiwa na sasa ni mjane,kiutu kitu cha kwanza ulitakiwa kufanya ni kutoa pole,sio kumsimanga mfiwa tena akiwa bado kwenye edda!
Ni kawaida sana, kila siku tunawaona wanaume wanapiga magoti kuwapigia wanawake kwenye “will you marry me?” na wanapiga goti moja na kuvisha pete,ki Afrika wanawake ndio wanapiga magoti mawili!.
Hakuna ubaya wowote mtu kumpigia magoti ya heshima mtu mwingine yeyote as long as magoti hayo ni ya heshima tuu kutokana na heshima na upendo na sio magoti ya kumsujudia au kumtetemekea kwasababu ni rais!
Wanabodi,
Leo kuna SMS nimetumiwa, nilipoisema humu hiyo SMS imeleta kizaazaa! hadi kufikia kutoleana maneno mabaya kwa baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru kwa Mwenye Enzi Mungu!.
Kitendo cha baadhi yetu kumkubali, kumsifu na kumpongeza mtu fulani kwa uchapakazi wake, kunahesabiwa, ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudia!, kitu ambacho si kweli!.
Kwakuwa ww Paskali unamsujudia basi unaamini kila mtu anamsujudia kama ww. Kwa taarifa yako sisi wengine hata kuona tu hiyo sms kwenye simu zetu ilikuwa ni bonge la kero.
Ww ndio unamuabudu hadi kuona sms yake ni bonge la bahati...
P