Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.Mama Samia jitathmini unaoenekana kuchanganyikiwa!. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako? Kiasi cha kuwaweka kizuizini kama Nchimbi. ungekuwa umetulia sasa endelea kusikiliza machawa wako utaishia pabaya
ok.🐒Mama Samia jitathmini unaoenekana kuchanganyikiwa!. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako? Kiasi cha kuwaweka kizuizini kama Nchimbi. Je unafikiri Deo anajali chochote au yupo tofauti au kwabababu ni mpigaji mzuri aka mla rushwa atakaa hapo kama biashara tu na kufuata upepo. Lakini sasa humuanimi tena waziri mkuu kuna njama za kumuondoa. Hapahapa humuamini Lissu walau Lissu ni tofauti za kisera. Lakini wakati umashuhuri wako unashuka wa Lissu na nyota yake inaendelea kupanda. Mpaka leo haijulikani unataka kuacha alama gani maana maendeleo mengi watanzania watasema ni Magufuli. Kikwete amesha chakaa sio wa kumtegemea tena. Familia sasa huna mume hizo pesa unazotafuta unataka ule na nani kama familia yenyewe siku yeyote inaweza kuyeyuka.
Kitu kimoja cha kurudisha heshima, utulivu ni kutuletea katiba tena katiba nzuri. Bila hivyo utamaliza muda wako wa kukimbizana kama hivi kila siku wakati nchi kama Ethiopia uchumi unakuwa kwa 9% kwa mwaka huu. Badilika mapema sana kawa ungewasikiliza wakina Lissu wakupe miaka mitatu ya kutengeneza katiba ungekuwa umetulia sasa endelea kusikiliza machawa wako utaishia pabaya
Nyerere aliingia uoga kwa Sokoine akamla kichwa. Nyerere aliingia uoga kwa Kambona akamkosa kumla kichwa. Nyerere aliingia uoga kwa Jumbe umeona alicho mfanya kamuondoa urais wake wa Zanzibar na kumweka Ali Hassan Mwinyi.Mama Samia jitathmini unaoenekana kuchanganyikiwa!. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako?
Miili ya watu waliouwa MO29 nani aliwafariji, yeye alisema kifo ni kifo tu. Hapaswi kupewa faraja anapaswa kukumbushwa kuwa Kila janga lake kwetu sherehe.Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.
VP Dr. EN hajawekwa kizuizini, nimeelezwa na ile sauti kuwa ni ni yeye mwenyewe ndie ameamua kutulia
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza!
P
Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.

Hamalizi..muda wake wa wapi!Mama Samia jitathmini unaoenekana kuchanganyikiwa!.
Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako? Kiasi cha kuwaweka kizuizini kama Nchimbi. Je unafikiri Deo anajali chochote au yupo tofauti au kwabababu ni mpigaji mzuri aka mla rushwa atakaa hapo kama biashara tu na kufuata upepo.
Lakini sasa humuanimi tena waziri mkuu kuna njama za kumuondoa. Hapahapa humuamini Lissu walau Lissu ni tofauti za kisera. Lakini wakati umashuhuri wako unashuka wa Lissu na nyota yake inaendelea kupanda. Mpaka leo haijulikani unataka kuacha alama gani maana maendeleo mengi watanzania watasema ni Magufuli. Kikwete amesha chakaa sio wa kumtegemea tena. Familia sasa huna mume hizo pesa unazotafuta unataka ule na nani kama familia yenyewe siku yeyote inaweza kuyeyuka.
Kitu kimoja cha kurudisha heshima, utulivu ni kutuletea katiba tena katiba nzuri. Bila hivyo utamaliza muda wako wa kukimbizana kama hivi kila siku wakati nchi kama Ethiopia uchumi unakuwa kwa 9% kwa mwaka huu. Badilika mapema sana kawa ungewasikiliza wakina Lissu wakupe miaka mitatu ya kutengeneza katiba ungekuwa umetulia sasa endelea kusikiliza machawa wako utaishia pabaya
Huko tuendako hiyo picha itabigwa marufuku
Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.
VP Dr. EN hajawekwa kizuizini, nimeelezwa na ile sauti kuwa ni ni yeye mwenyewe ndie ameamua kutulia
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza!
P
Kuna wadau wamekuomba utoe maoni yako juu ya hii picha. Au na yenyewe mpaka eda iishe?
Uncle wa UVCCM.Kheeeh hili li big limeshafika kizimkazi kutoa polee??
Makubwaaa! Hapitwiii. Lol
nasubiria edda iishe.Kuna wadau wamekuomba utoe maoni yako juu ya hii picha. Au na yenyewe mpaka eda iishe?
Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.
VP Dr. EN hajawekwa kizuizini, nimeelezwa na ile sauti kuwa ni ni yeye mwenyewe ndie ameamua kutulia
Voices From Within: Nimeelezwa Makamu Rais Mstaafu Balozi, Dr. Emmanuel Nchimbi Yuko Salama, Hajazuiliwa, Hajashikiliwa ni Ameamua Kutulia, Kunyamaza!
P
Yeye alipotuulia watanganyika wenzetu hakutulia tuomboleze wala. Ndio kwanza alituchamba wima wima. Hana uchungu huyo, ndoa yenyewe ya wake kibaoo hapo ni rambi rambi tu labda ndio inaangaliwa.Mkuu Kamu, Kamundu , please give her a break, tuwe na utu!, mtu amefiwa, badala ya faraja weweni kumsakama tuu!. Hebu pumzika kidogo, acha muda wa eda uishe arejee kazini ndipo uendelee kumbananisha!.