Mama Samia jitathmini unaoenekana haupo sawa kabisa. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako?

Ni kweli, kwenye kugombea urais, sio wagombea wote wanautaka kweli urais, kuna wengine ni wanashawishiwa ili wawe pace makers wa wagombea pangwa.

Ni kweli Nyerere alimtaka Dr. Salim, ili asionekane ana mtu wake wa mfukoni, Mwinyi akashawishiwa ili awe pace maker wa Dr. Salim, na mpango ulikuwa wakiingia mkutano mkuu, Mwinyi ilikuwa akatae, ili abaki Dr. Salim awe picked!, kufika kule,Mwinyi akakausha kujitoa,na wajumbe wa Wazanzibar, wakampiga Dr. Salim zengwe, la Hizbu hivyo kumgomea kata kata na kuongezea hajawahi tamka neno ”Mapinduzi Daima!”, hivyo Mwalimu akajikuta hana jinsi,akawakubalia ndipo Mwinyi akawa mgombea.
na zilikuwa hazipandi na mwinyi senior...Ni nani huyu alimbadilisha nyerere hadi akamkubali mwinyi kuwa rais wa jmt?
Hakuwahi kumkubali, na kiukweli alimsimanga sana!. Kipindi chote cha Mwinyi,hakuwahi kufanya press conference yoyote!,press za Ikulu alizifanya Balozi Choks, lakini Nyerere,kupitia wale wadosi wa Dar es Salaam Press Club,alikuwa anafanya Press conferences na kumtukana mjinga!
kulikuwa na deep state au mtandao ambao ulikuwa na uwezo wa kubadili mawazo ya nyerere?
No haikuwepo, ni Wanzanzibari walimgomea Dr.
kumbuka timbwili hili liliendelea hadi wakaanza kuchorana vibonzo kwenye gazeti la mfanyakazi hali iliyopelekea gazeti hlo kufungwa mapema 1990's.
Hii sikuijua!.
P
 
NDululu baba, Masanja alilikimbia kanisa akafuata ndululu barabarani usiku na mchana.
 
Mkuu mbona yeye hakuacha wale ndugu waliofiwa na wapendwa wao kwa kupigwa risasi watulie kwanza?badala yake ni vichambo mwanzo mwisho, acha avune alichakipanda ebo
 
Kitu kimoja cha kurudisha heshima, utulivu ni kutuletea katiba tena katiba nzuri. Bila hivyo utamaliza muda wako wa kukimbizana kama hivi kila siku wakati nchi kama Ethiopia uchumi unakuwa kwa 9% kwa mwaka huu. Badilika mapema sana kawa ungewasikiliza wakina Lissu wakupe miaka mitatu ya kutengeneza katiba ungekuwa umetulia sasa endelea kusikiliza machawa wako utaishia pabaya🙇🏿‍♂❗
 
Mpaka leo haijulikani unataka kuacha alama gani
Alama alisha iacha Oct 29 ..unataka aache alama gani tena????

Hata kabla ya Oct 29 alishaacha alama ya kuua na kuteka, na kufira...

Hivi mnauliza maswalu gani?????
 
Kwa hiyo hata hawezi kwenda kutoa faraja kwa Rais wake. EN atakua kwenye dentention mkuu
 
Huyu Mama ndiyo nataka wakati huu ajue kabisa anataka kuacha nini cha kumkumbuka. Mimi simsemi natoa facts tu hapa na kumpa ndondo za kumsaidia yeye na nchi.
Maadam amefiwa na sasa ni mjane,kiutu kitu cha kwanza ulitakiwa kufanya ni kutoa pole,sio kumsimanga mfiwa tena akiwa bado kwenye edda!
Machawa ndiyo wamemfikisha hapa. Sijawahi kuona wanaume wanapiga magoti kutoa pole kama wakati huu. Uchawa unaweza kumfanya mtu awe kama mwanamke! Nimeona wasanii wanapiga magoti!!!
Ni kawaida sana, kila siku tunawaona wanaume wanapiga magoti kuwapigia wanawake kwenye “will you marry me?” na wanapiga goti moja na kuvisha pete,ki Afrika wanawake ndio wanapiga magoti mawili!.

Hakuna ubaya wowote mtu kumpigia magoti ya heshima mtu mwingine yeyote as long as magoti hayo ni ya heshima tuu kutokana na heshima na upendo na sio magoti ya kumsujudia au kumtetemekea kwasababu ni rais!
P
 
INawezekana ni kwa sababu SAS alikuwa anazaniwa yuko karibu na kundi la waislamu wenye msimamo mkali.
Pia SAS alikuwa na maadui wengi.
 
Don't wory there are enough guns and roses to keep us together.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…