Mama Samia jitathmini unaoenekana haupo sawa kabisa. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako?



Mungu kampenda zaidi. Pole kwa mume wa Samia na waliokufa October 29. Watakutana peponi
 
Haikuwahi kufikiriwa hata siku moja nchi ingekuja kuwa chini laana ya watawala mashetani na wauaji wa kiwango hiki, watu ambao kwao kuteka na kuua ndiyo njia ya kubakia madarakani.

Baba Mungu wetu, tunaomba utuokoe tuondokane na jehanamu ya watawala waonevu, watesaji na wauji.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…