Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aahhh kumbe .. Kutoboa hatoboi..akitoboa hiko kisasi chake[emoji23][emoji23][emoji23]yupo kwa coma
Huyo mgonjwa ndiye ambae hafuati katiba. Km ikitokea akafariki bs mama Samia atachukua nafasi, no way out. Unaowadharau ww ni watu wamestaarabika na wamejaribu kukufumbua akili kwmb ikionekana Rais anaumwa kiasi cha kushndwa kutekeleza majukumu basi Makamu wa Rais ataapishwa kuwa Rais. Mnaweka uadui mbele wkt hamuelewi ki2! hi nch kuna watu wana vichwa vigumu sana.Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi
Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa
hatoboi tena ,atalala kama bi mkubwaAahhh kumbe .. Kutoboa hatoboi..akitoboa hiko kisasi chake[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini inaonekana kama vile ni yeye ndiye anayedai wa kukaguliwa kaguliwa na mafua na Homa... Ila hatujui how serious maana na Mama inaelekea leo ameimarishiwa ulinzi sana.Kigogo huwa hawezi kusema taarifa halafu zikabaki kuwa tetesi indefinetely, hiyo haipo. Kigogo akisema kitu lazima na wengine wataki-confirm baada ya muda mfupi. Alichokiona hapa Kigogo ni kwamba amemkosa Rais ila akwa hajui yuko wapi na nini kinaendelea. Kwa hiyo ikabidi sasa abuni stori ya ukosekano huo.
Mimi hapa nilipo nina theory moja tu kuhusu kutokuonekana kwake. Possibly ameamua kufanya hivyo kupunguza kelele za watu ili asionekane kuwa Rais wa nchi ndiye anayehamasisha watu kutokuvaa barakoa, wakati kuna watu wanadai kuwa tuna Corona. Yeye anaamini ni kweli kuna kitu kipo kinagharimu maisha ya watu, ila siyo Corona. Now in the presence of anything else different from Corona, JPM huwezi kumuona hata siku moja amevaa Barakoa
Kama kweli Corona isingekuwa imeisha, mwaka jana 2020 tusingeweza kufanya kampeni za uchaguzi, na hata Tundu Lissu mwenyewe asingekuja. Muda wote TL alikuwa hapa amefanya kampeni hadi kumaliza akiwa hajavaa barakoa. Je, kipindi hicho Corona ilikuwepo au haikuwepo?
ndio.Kwani mkuu huwa inakuuma?
Swali bovu.Trump na Lissu nani ana unafuu?
Ujumbe ndio huo.Ukiona mtu mzima anatoka kumuona mgonjwa halafu anawaambia wanafamilia shikamananeni ujue kuna jambo zito
Unashindwa kutofautisha binadamu na wanyama wasio na akili na utashi. Mtu anajeruhiwa kwa risasi 30+ halafu inakatazwa kumuombea!Wakati Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wanataka kufanya maombi mlikuwa mnatawanya watu kwa mabomu ya machozi.
Sasa hivi anakaguliwa mafua binadamu wenu mnataka mshikamano kwa taifa.
Yaani taifa lishikamnae na watesi, wauaji. Tushikamane kwa lipi?
Na Sio kawaida aiseeSijaona mahali akimshukuru Mhe. Rais kwenye hotuba yake, angalau kumtaja tu.
Lini msafara wa makamu ulikuwa na magari machache!
Inawezekana sana ukawa sahihi mkuu.My take:
Sasa hivi kuna power struggle ndani ya chama chetu. Mama kagundua anaweza kuwa side-stepped na MATAGA gang.
Speech yake ya leo ni kilio kwa Watanzania wote (hususani wasio wafuasi wa chama chetu na wasio MATAGA gang) wamuunge mkono ili asienguliwe na hao wahafidhina.
It's there for all to see and hear!
Sijajua ni nini hasa kinakufanya usikitike!Dah.. kwa maneno ya TL huko Twitter, basi kweli dunia ni mapito tu jamani. Cha muhimu hapa duniani ni kuishi vizuri na watu na kufata misingi aliyoiweka Muumba basi!! Hakika hatuijui kesho yetu. Inasikitisha sana sana.
kwenye kujenga hoja huyo Intaprinyuwaa wenu unaweza kumlinganisha na Salimu Mwalimu???
Kilichotokea ni kuibuka kwa mzushi huko Ubelgiji anayelichafua taifa letu!
Eeenh Heee!
Utashangaa sana mkuu.Ukiitaka Tanzania ya Magufuli baada ya muda wake. Omba mungu PM ateuliwe VP (whilst acting as the president) na Jaffo/Biteko awe PM hao ndio waliomuelewa.