devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Kwa ulinzi wa leo wa mama Samia ...Mim nahama nchi naenda zangu india
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora akae kimya tu maana akiongea huacha taaruki ktk jamii.Amefunga Kwaresma na kuiombea nchi, subili utamuona siku ya Pasaka.
Hao wengine kule waliko mbona hawakuwa na hizi phase?. Hakuna mahali ambapo walipumzika kukawa hakuna vifo. Ina maana phases hizi zimekuwa special kwetu tu? Jamani tuwe tunamsikiliza na Rais anapokuwa anaongea. Alisema hivi "mimi ni kiongozi wenu, najua mengi".1 wave iliisha kukawa shwari halafu ikaja 2nd wave, unaishi wapi wewe unashindwa kutambua hili.
Sent from my N20 using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅Tuendelee kujifukiza mkuuWe jamaa noma.. umewazaji hili[emoji1][emoji1]
Dalili za kukosa hoja ni kukumbatia vitisho. Unaowaita "mafisi" wao wanakuonaje. Dunia hii ya Mungu nenda kwa hadhariFisi wa nje ya Tanzania mpeni meseji awe Afrika au nje ya Afrika mwambieni wenye nchi watanzania nchi yao haichukuliwi na fisi na ajiandae saa yoyote anaenda kaburini bila kujali ni agent au ndiye fisi mwenyewe Watanzania wako tayar kuua fisi na agent wake .Taarifa zimfikie fisi na agent wa fisi .Hatutalala mpaka tuhakikishe fisii kafa na agent wake kafa Waambieni wakae mbali na Tanzania kama wanapenda kuendelea kuishi
Kuna Tatizo kubwa sana linaendelea ambalo kama halitashughulikiwa nchi itaingia kwenye mgogoro mkubwa wa kikatiba , hadi sasa rais hayuko kwenye utimamu wa kufanya kazi , kuna watu wake wa karibu waliomzunguka "wamemteka nyara" na kutumia wakati huuu kufanya mambo ambayo hayana baraka za Rais , na kwakua Makamu wa Rais hajaapa kuwa "kaimu rais" kama matakwa yanavyotaka pale rais anapokuwa kwenye hali ya ugonjwa ....kuna hatari kubwa sana kiusalama kama hali hii itaendelea ....Genge la "chato" wameamua "kuteka nyara" cheo cha urais ..na wanatoa maelekezo kwa viongozi waandamizi kama vile ni maelekezo ya rais ...hadi sasa wamehakikisha kuwa makamu wa rais na waziri mkuu ambao wako kwenye katiba wako mbali huko ili wafanye wanvyotaka ...hali hii inafanyika mbele ya macho ya MKUU WA MAJESHI na JAJI MKUU !!!!I said the same thing siku aliposema kuwa “wamarekani wametuiga” kuweka makamu wa rais mwanamke.
No doubt there is some power struggling.
Hii kauli haina baraka ya genge la "chato" , ndio maamna pamoja na kauli hii ya amani aliyotoa makamu wa rais bado watu wanaendelea kukamatwa ...jiulize wanatekeleza amri ya nani .....? ina maana sio mama wala waziri mkuu ambao amri zao ni amri halali kwa vyombo vya ulinzi na usalama .....kuna watu wanatoa amri kinyume cha utaratibu ....kama Mabeyo hawezi kuchukua hatua basi "KAMATI MAALUM YA ULINZI" Impe huo ushauri ..nchi inaendeshwaje na watu ambao hawajulikani kama rasmi kwenye mfumo wa usalama !! tiss Asilia msikubali huu upumbavu ,,,,,,......mmeapa !!!Anakaguliwa kaguliwa anaumwa mafua ama nini?
Jamaa sijui nikueleweshe vipi ni kama uelewa wako umeufungia kwenye kitu fulani. Ukitaka kujua hizo dynamics za Ugonjwa soma tu utaelewa wapi ilitokea 2nd phase na kwanini mfano Africa Kusini ugonjwa wa awamu ya pili ni mkali sana na Virus wana tabia tofauti. Kumsikiliza Rais sawa tena yeye mbinu yake ni ya kipekee ya kuzuia wananchi tusiwe na hofu kwani hofu inaua zaidi kuliko COVID-19.Hao wengine kule waliko mbona hawakuwa na hizi phase?. Hakuna mahali ambapo walipumzika kukawa hakuna vifo. Ina maana phases hizi zimekuwa special kwetu tu? Jamani tuwe tunamsikiliza na Rais anapokuwa anaongea. Alisema hivi "mimi ni kiongozi wenu, najua mengi".
Mbali na huyu pia wapo watu humu jukwaani ambao wanajua angalau machache ya muhimu sana, ambayo tulio wengi kwa hakika kabisa hatuyajui hayo wanayaandika, lakini wanayaandika humu na hatuyasomi!
Acheni kudandia uzushi nyinyi......Inawezekana sana ukawa sahihi mkuu.
Huyu mama yetu alishawahi kwenda hospital kumuona Tundu Lissu.Mama yetu anao ubinadamu !Wakati Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wanataka kufanya maombi mlikuwa mnatawanya watu kwa mabomu ya machozi
Huyo mama aukatae huo ulinzi.Angetengeneza safu yake mwenyewe ya watu wa kumlinda badala ya kutumia walinzi wa Jiwe.Wale hawezi elewa wanapata amri kutoka wapi,manake Jiwe hayupo!ameimarishiwa ulinzi sana
Huyo mama aukatae huo ulinzi.Angetengeneza safu yake mwenyewe ya watu wa kumlinda badala ya kutumia walinzi wa Jiwe.Wale hawezi elewa wanapata amri kutoka wapi,manake Jiwe hayupo!
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytimeDalili za kukosa hoja ni kukumbatia vitisho. Unaowaita "mafisi" wao wanakuonaje. Dunia hii ya Mungu nenda kwa hadhari
Duuh!Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime