Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Huyo fisi ni nani mkuu mbona unaongea kwa mafumbo
Wanajua vizuri nilichoandika lakini Nasimama na mtazania mwenzangu Mama Suluhu na nimhakikishie mengine atuachie watanzania wenzie it is non of her busness .Fisi wa nje hawezi pewa bucha ya Tanzania leo kesho na hata milele
 
Jiwe limegoma ku.fa litaibuka dakika ya 89 watu watashangaa😄na kwa jinsi mlivyoonyesha kuwa hamumpendi na kumuombea mabaya atakuja na moto wa hatari maji mtaita mma hali ya sasa itakuwa mara mbili yake mkae chonjo😆
 
Huyu mama huwa ana maneno ya faraja sana wakati mwingi,anafaa kuwa rais wa Zanzibar 2030
 
Magufuli piga hata simu tukusikie...

Wapo watu hawaishi hukuu... Hawali hawanywi...
Magu piga walau simu.
Ohhoohh!!
 
Huyo mjinga amechanganyikiwa hajui hata anaandika nini.
Wamezoea kuuwa wanaogopa kufa.

Eti nitasimama na mtanzania mwenzangu mama Samia,kwani Kagame anataka nani awe rais wakati huu baada ya jiwe kutema nyama.
 
Magufuli piga hata simu tukusikie...

Wapo watu hawaishi hukuu... Hawali hawanywi...
Magu piga walau simu.
Ohhoohh!!
sauti ikitetemeka mtasingizia network au speaker? Rais anaumwa, akiongea basi ni kwa shida mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…