Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

1 wave iliisha kukawa shwari halafu ikaja 2nd wave, unaishi wapi wewe unashindwa kutambua hili.

Sent from my N20 using JamiiForums mobile app
Hao wengine kule waliko mbona hawakuwa na hizi phase?. Hakuna mahali ambapo walipumzika kukawa hakuna vifo. Ina maana phases hizi zimekuwa special kwetu tu? Jamani tuwe tunamsikiliza na Rais anapokuwa anaongea. Alisema hivi "mimi ni kiongozi wenu, najua mengi".

Mbali na huyu pia wapo watu humu jukwaani ambao wanajua angalau machache ya muhimu sana, ambayo tulio wengi kwa hakika kabisa hatuyajui hayo wanayaandika, lakini wanayaandika humu na hatuyasomi!
 
Dalili za kukosa hoja ni kukumbatia vitisho. Unaowaita "mafisi" wao wanakuonaje. Dunia hii ya Mungu nenda kwa hadhari
 
Usalama wa taifa/ CCM hawajuwi utofauti kati ya ccm na taifa.
 
I said the same thing siku aliposema kuwa “wamarekani wametuiga” kuweka makamu wa rais mwanamke.

No doubt there is some power struggling.
Kuna Tatizo kubwa sana linaendelea ambalo kama halitashughulikiwa nchi itaingia kwenye mgogoro mkubwa wa kikatiba , hadi sasa rais hayuko kwenye utimamu wa kufanya kazi , kuna watu wake wa karibu waliomzunguka "wamemteka nyara" na kutumia wakati huuu kufanya mambo ambayo hayana baraka za Rais , na kwakua Makamu wa Rais hajaapa kuwa "kaimu rais" kama matakwa yanavyotaka pale rais anapokuwa kwenye hali ya ugonjwa ....kuna hatari kubwa sana kiusalama kama hali hii itaendelea ....Genge la "chato" wameamua "kuteka nyara" cheo cha urais ..na wanatoa maelekezo kwa viongozi waandamizi kama vile ni maelekezo ya rais ...hadi sasa wamehakikisha kuwa makamu wa rais na waziri mkuu ambao wako kwenye katiba wako mbali huko ili wafanye wanvyotaka ...hali hii inafanyika mbele ya macho ya MKUU WA MAJESHI na JAJI MKUU !!!!
 
Anakaguliwa kaguliwa anaumwa mafua ama nini?
Hii kauli haina baraka ya genge la "chato" , ndio maamna pamoja na kauli hii ya amani aliyotoa makamu wa rais bado watu wanaendelea kukamatwa ...jiulize wanatekeleza amri ya nani .....? ina maana sio mama wala waziri mkuu ambao amri zao ni amri halali kwa vyombo vya ulinzi na usalama .....kuna watu wanatoa amri kinyume cha utaratibu ....kama Mabeyo hawezi kuchukua hatua basi "KAMATI MAALUM YA ULINZI" Impe huo ushauri ..nchi inaendeshwaje na watu ambao hawajulikani kama rasmi kwenye mfumo wa usalama !! tiss Asilia msikubali huu upumbavu ,,,,,,......mmeapa !!!
 
Jamaa sijui nikueleweshe vipi ni kama uelewa wako umeufungia kwenye kitu fulani. Ukitaka kujua hizo dynamics za Ugonjwa soma tu utaelewa wapi ilitokea 2nd phase na kwanini mfano Africa Kusini ugonjwa wa awamu ya pili ni mkali sana na Virus wana tabia tofauti. Kumsikiliza Rais sawa tena yeye mbinu yake ni ya kipekee ya kuzuia wananchi tusiwe na hofu kwani hofu inaua zaidi kuliko COVID-19.

Sent from my N20 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona jitu linakohoa kwenye MIC!Imagine wakati huu wa Corona tena wakati ambao huenda tuna variants kadhaa wa kirusi cha Corona jitu linakusanya watu bila hata ya kuchukua tahadhari yoyote ile kwa kigezo eti cha kufungua miradi.Tanzania ni kichwa cha wendawazimu kinachotembea!🚶🚶🚶
 
Ongea yake tu ni kututia moyo lakini sidhani
 
Genge wako busy wana haribu ushahidi ....wanaogopa kwenda mahakamani ...maana kuna watu kama DPP Biswalo Maganga hawezi hata siku moja kujibu zile pesa CASH za wafanyabishara waliokuwa wanadaiwa KODI walizokuwa wanampelekea bila risiti ....alikuwa anazipeleka wapi ? hili jambo limekuja ghafla sana hivyo watu hawalali kufunika ushahidi na msishangae baadhi ya nyaraka au ofisi zikachomwa moto ....kama ambavyo COmputer za DPP zilivyoibiwa
 
Kwa masafara ulivyokua sijawahi kuona hata siku moja Mama Samia msafara wake unakua kama vile...kuna jambo litadhihirika soon
 
ameimarishiwa ulinzi sana
Huyo mama aukatae huo ulinzi.Angetengeneza safu yake mwenyewe ya watu wa kumlinda badala ya kutumia walinzi wa Jiwe.Wale hawezi elewa wanapata amri kutoka wapi,manake Jiwe hayupo!
 
Mmnnhhh!!!!!
Huyo mama aukatae huo ulinzi.Angetengeneza safu yake mwenyewe ya watu wa kumlinda badala ya kutumia walinzi wa Jiwe.Wale hawezi elewa wanapata amri kutoka wapi,manake Jiwe hayupo!
 
Dalili za kukosa hoja ni kukumbatia vitisho. Unaowaita "mafisi" wao wanakuonaje. Dunia hii ya Mungu nenda kwa hadhari
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime
 
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime
Duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…