Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Dalili za kukosa hoja ni kukumbatia vitisho. Unaowaita "mafisi" wao wanakuonaje. Dunia hii ya Mungu nenda kwa hadhari
Vita haina macho wala eneo maadui na wenye ajenda ya siri Tanzania wajiandae saa yeyote hitmen wanatua kwao wawe ndani ya nchi au iwe Afrika mashariki au Afrika au Asia au Ulaya au.Amerika au Asia wajiandae kufa
 
Mnhhh!!! Jamani nini tena!!?
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime
 
Vita haina macho wala eneo maadui na wenye ajenda ya siri Tanzania wajiandae saa yeyote hitmen wanatua kwao wawe ndani ya nchi au iwe Afrika mashariki au Afrika au Asia au Ulaya au.Amerika au Asia wajiandae kufa
Eehhh!!!
 
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime
Mauaji hayawezi kuiponya Tanzania . Leo mna kitambo mnayafanya mbona nchi bado masikini ya kutupa ?!

U communist hauwezi kuito nchi hii mrisi
 
Vita haina macho wala eneo maadui na wenye ajenda ya siri Tanzania wajiandae saa yeyote hitmen wanatua kwao wawe ndani ya nchi au iwe Afrika mashariki au Afrika au Asia au Ulaya au.Amerika au Asia wajiandae kufa
Mbona Mods Moderator mnamuacha huyu atambe humu ?!. Uhai wake hauna thamani zaidi ya wengine.
 
MAKUNDI NDANI YA CCM 2021
CCM Genge
CCM Matumaini [mataga wanaosubiri vyeo; hawa wengi wameaminishwa kuwa majina yao yako mezani kwa Magu kwa ajili ya u DC,DED na DAS basi wanapigana kweli ionekane wanawatetea Genge ]
CCM MASLAHI [ wale wahamiaji kina Mwita Waitara , Dr Mollel ni chawa kuliko chawa wenyewe ]
CCM ASILIA [ Ni wale Yatima , ambao walipigana kufa na kupona 2015 lakini leo wako wako tu , hata karata Pale Lumumba hawana uwezo wa kwenda kucheza ]
CCM DOLA [ Hawa ni wale watumishi wa usalama na serikali ambao wameamua kuwasaidia CCMGenge kutawala wakishirikiana na "usalama wa kufikirika" kama yule mkuu wa wilaya wa hai ....hawapo kwenye mfumo rasmi wala hawajawahi kufanya mafunzo popote lakini wako kwenye payrol ya genge ...wana nguvu kweli hadi wanaogopwa na wabobezi }
 
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime
Wamefanya nini tena
 
Mwamba Magufuli jitokeze wananchi tukuone kama kawaida yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…