"Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile...
We umeabiwa ni wakati wa kushikamana katika kipindi hiki,Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi
Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa mkubwa
Speech nzima hajamshukuru raisi[emoji849]
Eheeee mama anatuandaa kisaikolojia...
sijaona mahali akimshukuru Mhe. Rais kwenye hotuba yake, angalau kumtaja tu.
Sasa hasira za nini mkuu kwani sisi ndio tumeleta huu ugonjwa? Tumuombee mh.rais apate nafuu.Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi
Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa
Kwani mkuu huwa inakuuma?Na yeye pia atakuwa anagawa pesa kwa wanyonge akiwamo ziarani kama yule mwingine?
Huu ni wakati wa kushikamana wewe unawaza urais tu.Mama Samia Suluhu tuko pamoja Huyu mama Magufuli akimaliza kipindi chake cha uraisi apewe uraisi ana akili nyingi mno nampendekeza ugombea uraisi najua kuna makundi ya nje yamekaa kama fisi kwenye bucha yakisubiri muuza bucha atoke yale Nyama hayatafanikiwa.Bucha haitaachiwa fisi wa nje hata siku moja! meseji ndio hiyo Kila fisi wa nje anayedhani atapewa bucha hapewi kwa gharama yeyote awaambie fisi wenzie
Tanzania ni Tanzania na itabaki kama Tanzania ya watanzania milele.
Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi
Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa
Hatari. Jana hakuonekana Church. Last week bilabila. Muda ni mwalimu mzuri.
Naitika niliyokukosea Sasa unihurumie, moyo wanichechemea, mwili damu hunikauka.......maini yanakataaaaaNashauri tusishikamne wakati huu tu, tushikamane kwa nyakati zote, sisi ni Tanzania na Tanzania ni sisi. Tufute kesi za unyanyasaji, tutube kama taifa, tuanze upya, tukifanya hivi naiona Tanzania yenye baraka lakini pia tusipofanya hivyo naona kinyume chake
She is the Boss nowHii ziara naona muhimu sana kwa Taifa, Yaani Leo Mama Kaongozana na Mawaziri na Manaibu waziri, tulishazoea hiyo hali inakuwepo Jiwe akiwa kwenye shughuli za kuijenga nchi.
Muda muamuzi wa kweli
Mama hapa kuna kitu alitaka kuongea ,lakini hakumalizia.Wanasema'',Samaki anayo mengi ya kuongea lakini mdomoni ana maji''.Lakini nataka niwaambie kwamba katika wakati muhimu watanzania kushikamana ni wakati huu, kujenga umoja, ni wakati huu
Huyu ndiye yeye, maana kawaida anakuwa na huyo mdada tu
Wamempa onyo vinginevyo house arrest
I said the same thing siku aliposema kuwa “wamarekani wametuiga” kuweka makamu wa rais mwanamke.Mama Anapiga Jaramba ...