Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi

Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa mkubwa
We umeabiwa ni wakati wa kushikamana katika kipindi hiki,
Binadamu kukaguliwa ni kawaida.
Mbona unaleta chuki tena Hujamsikia makamu wa Raisi alichosema?
 
Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi

Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa
Sasa hasira za nini mkuu kwani sisi ndio tumeleta huu ugonjwa? Tumuombee mh.rais apate nafuu.
 
Hakuna mshikamano na majizi ya kura. Kimsingi hatujali anayesema anaishi wapi au anatoka wapi, tunajali uzito wa hoja inayosemwa. Awaunganishe wanaccm maana wao ndio wafaidika wa dhuluma za utawala huu.
 
Mama Samia Suluhu tuko pamoja Huyu mama Magufuli akimaliza kipindi chake cha uraisi apewe uraisi ana akili nyingi mno nampendekeza ugombea uraisi najua kuna makundi ya nje yamekaa kama fisi kwenye bucha yakisubiri muuza bucha atoke yale Nyama hayatafanikiwa.Bucha haitaachiwa fisi wa nje hata siku moja! meseji ndio hiyo Kila fisi wa nje anayedhani atapewa bucha hapewi kwa gharama yeyote awaambie fisi wenzie

Tanzania ni Tanzania na itabaki kama Tanzania ya watanzania milele.
Huu ni wakati wa kushikamana wewe unawaza urais tu.
 
Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi

Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa

Bado hujapanick, utapanick sana.
 
Nashauri tusishikamne wakati huu tu, tushikamane kwa nyakati zote, sisi ni Tanzania na Tanzania ni sisi. Tufute kesi za unyanyasaji, tutube kama taifa, tuanze upya, tukifanya hivi naiona Tanzania yenye baraka lakini pia tusipofanya hivyo naona kinyume chake
Naitika niliyokukosea Sasa unihurumie, moyo wanichechemea, mwili damu hunikauka.......maini yanakataaaaa
 
😎😎😎😶😶😶😏😏😑😐😐🤨🤨
 
Back
Top Bottom