Mama Samia ndio Rais asiye mashughuri Tanzania kuliko wote tangu kupata uhuru

4.MAMA SAMIA
Nimeweka herufi kubwa .Naomba niseme toka moyoni bila chuki binafsi wala kushauri kwa maslahi yeyote na Mungu anisaidie.

Asee mama hivi unaishi Tanzania kweli? Maana swala la kuwa watanzania hawakutaki liko wazi balaa .naomba usitume hao wa ofisini kwako kuwa mjanja kama magu yeye aliunda wakwake .wambie wakurekodie vijiwe vya kahawa wanakusemaje .

Watu hawachukii uzanzibar je mbona hawakumchukia Mwinyi? Hawachukii uanamke wako .niko hapa atakuja rais mwanamke na atapendwa .watu wanachukia
Sema tu ukweli yeye ni chawa wa Rost tamu
 
1.Daraja la Jangwani lina msaada gani kwa walioko Mwanza, Ruvuma, Rukwa?
2. Kama ndani ya muda mfupi kakopa pesa nyingi kupita marais wote na hazionekani hizo baranra zitajengwa na nini?
Katika minyumbu isiyo na akili kabisa wewe ni number one. Hongera
 
Anafanya vizuri zaidi kwa kupora uchaguzi hadi mchakato wa uchaguzi?

Mmeiharibu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, na sasa amemfunga mpinzani wa kweli Tundu Lissu anagombea na Salum Mwalimu mzanzibari snitch mwenzake, na wewe kilaza unasifia. Chawa mjinga jibu hili nikupe hoja nyingine.
Uchaguzi uliharibiwa 2019 kipindi Cha mtu wenu...... mnafanya Kila jitihada kumlinda kwa kuhamishia magoli kwa huyu mama.
 
SAWA mama yangu uliyeolewa na zaidi ya mwanaume mmoja.
Ila hoja iko palepale wewe chawa mpumbavu kilaza wasted sperms. Tanganyika itakombolewa be sure about that
Watafute baba zako kwanza wakupe historia ya nchi hii.
 
1000086293.jpg
 
Uchaguzi uliharibiwa 2019 kipindi Cha mtu wenu...... mnafanya Kila jitihada kumlinda kwa kuhamishia magoli kwa huyu mama.
Mbwa wa kijani wewe, kwanza mimi siwezi kuwa CCM ever, kwa hiyo kunihusisha na ma CCM ni kunivunjia heshima.

Pili jaribu kutumia hata akili kidogo ya kubahatisha unapotoa hoja zako jamvini. Hivi uchaguzi uliosimamiwa na mkwewe mwenye kifua kipanya mwaka 2024 ilikuwa kwenye honey moon na mumeo mpyae?
 
Kipimo cha kuchukiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni chuki zako tu ukweli uyu ndio kiongoz mwenye kupendwa zaid !!

chini ya utawala wake Wanaccm wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbali mbali hii imevunja record ya CCM !!!

Uchaguzi wa Serikali za mitaa chini yake SAMIA kama mwenyekiti CCM imeshinda kwa 98% !!

na Uchaguzi huu Rais Samia Suluhu Hassan anaenda kuvunja record ya kuchaguliwa na watz wengi Zaid.!!

Usiniulize kwani anambambana nanani. Jibu lake Uchaguzi wa Serikali za mitaa CHADEMA kashiriki na kaangukia puaa chini ya SAMIA!!

Uchaguzi huu ni wao wenyewe CHADEMA ndio wameweka mpira kwapani kumkimbia japo tuliwatamani sana mje mchezoni !!!

Kukimbia ni wazo lenu SAMIA kashindikana wamemuogopa wameona wanaenda aibika..🤣🤣

kuna genge linachuki na SAMIA sababu kuu kukosa michongo Bandalini!!

Kama DP WORLD inafanyakazi vema na gawio Serikali inapata kubwa sana tofauti na zamani !!!!

lkn bandari kuna Genge walifanya Shamba la bibi sasa
kwao imekuwa ngumu mwendelee kula Ugali na tembele mpaka 2030 wezi wakubwa !!!

kwasasa Serikali japo pesa inaonekana TRA kutoka mwaka 2021 kuingia Madarakani SAMIA SULUHU HASSAN tu.
Trilioni 17 miaka minne tu sasaivi ni makusanyo ni Trillion 31 aibu yenu mnaetumika kumpiga Rais Samia Suluhu Hassan na magenge ya wezi Bandarini tunayajua DP mnawaita Warabu kipropaganda lkn mmekwama !!!

mkadai Samia ETI anaharibu nchi kivipi SAMIA ni mpango wa mungu mkuu. Kuliponya Taifa kutoka kwa wezi wakuu wa nchi hiiiiii tunawajuaa.

Na mkipewa nchi mwaka 2030 tunataka makusanyo TRA yaongezeke kama sasaivi chini ya SAMIA sio pesa zinaishia mifukoni mwenu !!
na TRA kudai mapato yameshuka majizi
wakubwa.,
Hayo mengine uliyosema nimeamua kuyaacha sababu yamejaa hisia

Nina swali hapo uliposema wengi wamegombea na kuvunja records. Tuwejane sawa kuliko kkujazana taarifa za uongo

Wabunge wangapi mwaka huu wamegombea na madiwani wangapi ili tulinganishe na huko zamani
 
Habari wakuu !

Tanzania inapita kipindi kigumu katika historia yake ya siasa za kiti cha urais.niwaelezee wachache

1.Nyerere.Huyu alipofariki mwaka 1999 nilishuhudia msiba wake kipindi hicho nilikuwa Lindi vijijni .nilishuhudia kwa macho yangu watu wakilia msiba kama amefariki ndugu wa karibu.pale kwenye kumuaga walizimia si watu chini ya 20 kwa huzuni.

Japo alikuwa na wapinzania wake kama Kambona katika nyakati yake nje na ndani alimaintain kuwa maarufu

2.Mwinyi -Huyu alisifika kuwa mtu wa haki .mchamungu na siependa mawaa serikalini .watanzania walimpenda siku anastaafu alipewa zawadi uwanja wa Samora pale Iringa si chini ya masemi matatu ya zawadi .

Japo hata yeye alijuata aliwajihusisha na mikataba michafu ya mbuga zetu za wanyama na wanyama kibao kwa uzembe wake walibebwa na waarabu ni udhaifu wa wazanzibar kujipendekeza kwa waarabu wakiamini nao waarabu.ila mpaka anafariki aliondoka akiwa mioyoni mwa watanzania hususan alipostaafu aliishi akiwa mbali na siasa za chama akabaki mzee wa taifa lote

3.Kikwete .kabla sijamuongelea naomba ninywe maji kidogo (gudugudugudu...haaaa ) sababu najua saivi wengi wanamchukia .mm pia simchukii ila nimeishusha heshima yake.

Kikwete alipoingia hasa kutokana na kuwepo hisia za watanzania wengi tulio ndani ya CCM kuamin kuna nguvu ya wivu kubwa sana iliyokuwa ikizuia nyota yake kali kupewa urais .kimsingi uraisi wa mkapa ulikuwa wake ila huyu Mkwere alionesha ukomavu sana kwani alimtumikia mkapa bila kinyongo na kwa heshima kuu.

Aidha alijitahidi sana kwenye demokrasia na kuishi vyema na wapinzania wa serikali yake (walikuwa wanaenda kunywa chai ikulu) kitabia kikwete ukweli huwa ni mtu mwema sana kwa binadamu yeyote .kutokana na kuwa mdhaifu sana kwenye kuamini marafiki alijikuta amejaza watoto wa mjini kwenye kazi kama kina ditopile .kapuya etc kukawa na wizi sana mawizarani na makashfa ya escow ni matokeo ya usimamizi wake duni .

Huyu alistaafu kwa heshima zote alipojiharibia ni kutokubali kastaafu na kukaa benchi na kuendelea kushiriki makosa ya mama kwa kigezo cha kupenya kuwa mshauri .Sasa Kikwete ana ushauri gani huyu? Wa kumpenyeza mama bila ushindani?nimeacha kuendelea maana huyu kashatoka mioyoni mwa watanzania

4.Magufuli

Huyu alipata umaarufu pengine unakaribiana na Nyerere kabisa .yeye alijua madhaifu na hasira juu ya utendaji mbovu wa Kikwete .akajikita kurekebiasha alianza ngoa mitandao ya waizi wa kodi kwa kibai cha serikali bandalini mpaka wengine wakajifilisi kuogopa kukaguliwa .

(home shopping)tatizo alijisahau akaanza kutumia cheo kupambana na wabaya binafsi akiwemo manji .hakujua urais ni nafasi ya kiroho na takatifu (assistant God) pia udhaifu wake kimaumbile ni mpenda sifa asipenda kosolewa ilimghalimu.

Pia alikuwa hana elimu ya uchumi na sheria japo alikuwa na nia njema ila alifanya maamuzi ya kijinga mengi akatugharimu ikiwemo kununua mindege mibovu na kuvamia mikataba ya madini kidwanzi lakini pamoja na yote watanzania aliondoka yuko moyoni mwao na walimlilia kweli kweli

4.MAMA SAMIA
Nimeweka herufi kubwa .Naomba niseme toka moyoni bila chuki binafsi wala kushauri kwa maslahi yeyote na Mungu anisaidie.

Asee mama hivi unaishi Tanzania kweli? Maana swala la kuwa watanzania hawakutaki liko wazi balaa .naomba usitume hao wa ofisini kwako kuwa mjanja kama magu yeye aliunda wakwake .wambie wakurekodie vijiwe vya kahawa wanakusemaje .

Watu hawachukii uzanzibar je mbona hawakumchukia Mwinyi? Hawachukii uanamke wako .niko hapa atakuja rais mwanamke na atapendwa .watu wanachukia

1.ulivojifanyia mkataba wa kuachia bandar na misitu yetu kwa waarabu na kutumia wapuuz(wasanii mara waandishi na wabunge ka msukuma) kusukuma kwa nguvu hilo liajenda licha ya kila taasisi kukukataza.nauhakika rais ajae atakuja wazingua

2.utajiri wa waliochini yako usiomithiliaka .hili mm hapojuu nimeapia Mungu sina ushahidi ila mama ndio maneno mtaani kuwa mwanao abdu anama asset ya mabilion aliyopata kipindi chako kifupi wakati juzi tu alikuwa muuza mataili wa kawaida.

3.KIKWETE Huyu yuko branded na watanzania kama mwana mtandao mtiifu wa ROSTAM (mimi nayasikia sijui vyema ila vijiweni wanamcjukia kuliko shetani) huyu ndo alishindwa kukushauri kuuchukua ugombea kiufundi bila hata watoto kujua leo wote tunaamini WEWE SIO MGOMBEA HALALI WA CCM

4.LISSU hii nimeamini watanzania ni ndugu maana laiti ungejua ni mamilion wangapi wanamlilia mwenyezi mungu juu ya lisu niamin hutaiacha dunia bila kujuta .n

Watanzania akiwamo kikwete wanaamini lissu unamuogopa na unamtesa bila hatia yeyote hata ukimuachia
wanaamini ww hufai.

5.UTEKAJI .Hii ningewapa watoto wa chekechea wakwambie wanotekwa rawama 100% hua ww sasa mtu kama Mdude unatoa wapi macho makavu ya kutoongelea ??

Mama mimi ni mjumbe tu naomba nisiuawe na nakuheshimu kama mama ila huu ni ukwel .naomba nikupe swali tafakuri .

Ingia mitandaoni je unajua siasa sio coverage number 1 .yaani kimsingi hakuna anaefatilia kama kuna uchaguzi mada zinazoongelewa ni

1.Giggy money kugombana na anko t sio sera zako kwanza hata ndo mara ya kwanza mpaka nafikia mika 50 sijasoma hata ilan

2.Diamond na Mboso kugombana juu ya pawa

3.Zuchu kukosewa heshima na wakenya

Narudia USINITEKE PLEASE NA FAMILIA
We kasafishe huo ****** wako uliooza
 
SHUJAA ALIANZA VIZURI LAKINI ALIPOANZA KUWA DIKTETA NA KUIBA KURA AAKAHARINU KILA KITU
 
Hayo mengine uliyosema nimeamua kuyaacha sababu yamejaa hisia

Nina swali hapo uliposema wengi wamegombea na kuvunja records. Tuwejane sawa kuliko kkujazana taarifa za uongo

Wabunge wangapi mwaka huu wamegombea na madiwani wangapi ili tulinganishe na huko zamani
1000070334.jpg
 
Mkuu kwani nimekutusi sehemu?
si ndio tunaongea kwa hoja?
Daraja/ barabara ya jangwani kuna watu humu wala hawaijui! hata umuhimu wake hawata uona.
Unanichekesha kamanda, kwani hujui kuwa Kuna watu hata hawaijui JF?!! Unashangaa nini sasa kuwepo kwa wasiojua umuhimu wa daraja kama jangwani. Ila kama watu hao wapo humu jf basi waambie mods wawatoe au warekebishe ile, "the home of great thinkers!"
Hivi hoja Iko wapi haswa?!!!
 
Ukizipata nirushie na mimi
Mpaka Sasa sijapata clips hata moja Rais wa nchi akionya watumishi wa Umma kuepukana na rushwa na uwajibikaji na kusisitiza uzalendo wa kulinda rasilmali za nchi tafadhali mwenye nayo niwekee hapa
 
Back
Top Bottom