Mama Samia ndio Rais asiye mashughuri Tanzania kuliko wote tangu kupata uhuru

Mama Samia ndio Rais asiye mashughuri Tanzania kuliko wote tangu kupata uhuru

Mijitu mijinga mijinga lazima iwe na mawazo kama Yako. Bahati mbaya Dunia hii haliendeshwi na wajinga na washamba, Bali wajanja na waliostaarabika. Hao unaowachukia wanaiendesha uchumi wa mabwana zenu huko uongereza na wanawakaribisha kwa nguvu zote........we kalia zako udini bwege we!!
Lugha hizi nilizisikia enzi za ujamaa wa Nyerere, eti mabwana zenu. Bora kuwa na mabwana wa uingereza kuliko kuwa na bwana wa kizenji Abdul na Elvis Kilango na bwana wenu mkubwa mnayempa migodi yote Rostam Aziz
 
Lugha hizi nilizisikia enzi za ujamaa wa Nyerere, eti mabwana zenu. Bora kuwa na mabwana wa uingereza kuliko kuwa na bwana wa kizenji Abdul na Elvis Kilango na bwana wenu mkubwa mnayempa migodi yote Rostam Aziz
We kumbe ni bonge Moja la libwege, hebu kawashe moto jikoni huko uweke maharage ya supu ya asubuhi.
 
Dar es Salaam kaweka mabango kila pahala lakini hakuna ushawishi wowote. Mama hapendwi hasa.
 
Huyu mwanamke ni bure kabisa, hafai hata kuwa balozi wa nyumba 10.
kaabisha wanawake sana na kaliweka taifa kwenye ugumu ambao itachukua muda kusafisha makosa.
Mungu ikimpendeza amchukue tu
 
1.Daraja la Jangwani lina msaada gani kwa walioko Mwanza, Ruvuma, Rukwa?
2. Kama ndani ya muda mfupi kakopa pesa nyingi kupita marais wote na hazionekani hizo baranra zitajengwa na nini?
Hivi mkuu umeamini kuna watanzania ni Wapumbavu kupitiliza siyo? Eti mtu anasifia jangwani yaani kwa upeo wake yeye kaona hilo tu Bac
 
Habari wakuu!


Tanzania inapita kipindi kigumu katika historia yake ya siasa za kiti cha urais. Niwaelezee wachache:

1. Nyerere
Huyu alipofariki mwaka 1999 nilishuhudia msiba wake. Kipindi hicho nilikuwa Lindi vijijini. Nilishuhudia kwa macho yangu watu wakilia msiba kama amefariki ndugu wa karibu. Pale kwenye kumuaga walizimia si watu chini ya 20 kwa huzuni. Japo alikuwa na wapinzani wake kama Kambona katika nyakati yake, ndani na nje alimaintain kuwa maarufu.

2. Mwinyi
Huyu alisifika kuwa mtu wa haki, mchamungu na asiyependa mawaa serikalini. Watanzania walimpenda sana. Siku anastaafu alipewa zawadi uwanja wa Samora pale Iringa – si chini ya maelfu matatu ya zawadi.
Japo hata yeye alijuta kuhusika na mikataba michafu ya mbuga zetu za wanyama, na kwa uzembe wake wanyama kibao walibebwa na Waarabu. Ni udhaifu wa Wazanzibari kujipendekeza kwa Waarabu wakiamini ni wao. Ila mpaka anafariki, aliondoka akiwa mioyoni mwa Watanzania, hususan kwa sababu alipostaafu aliishi mbali na siasa za chama, akabaki kuwa mzee wa taifa lote.

3. Kikwete
(Kabla sijamuongelea naomba ninywe maji kidogo… gudugudugudu…haaaa 😅). Najua wengi wanamchukia. Mimi pia simchukii ila nimeishusha heshima yake.

Kikwete alipoingia, kutokana na hisia za Watanzania wengi tuliokuwa ndani ya CCM, tuliamini kuna nguvu kubwa ya wivu iliyokuwa ikizuia nyota yake kali kupewa urais. Kimsingi, urais wa Mkapa ulikuwa wake. Ila huyu Mkwere alionesha ukomavu sana kwani alimtumikia Mkapa bila kinyongo na kwa heshima kuu.

Aidha, alijitahidi sana kwenye demokrasia na kuishi vyema na wapinzani wa serikali yake (walikuwa wanaenda kunywa chai Ikulu). Kitabia, Kikwete ukweli ni mtu mwema sana kwa binadamu yeyote. Lakini kutokana na udhaifu wake wa kuamini marafiki, alijikuta amejaza “watoto wa mjini” kwenye kazi – kama kina Ditopile, Kapuya n.k. Kukawa na wizi sana mawizarani na makashfa ya Escrow – yote yakawa matokeo ya usimamizi wake duni.

Huyu alistaafu kwa heshima zote. Alipojiharibia ni kutokubali kustaafu na kukaa benchi, akaendelea kushiriki makosa ya Mama kwa kigezo cha kupenya kuwa mshauri. Sasa Kikwete ana ushauri gani huyu? Wa kumpenyeza Mama bila ushindani? Nimeacha kuendelea maana huyu kashatoka mioyoni mwa Watanzania.

4. Magufuli
Huyu alipata umaarufu pengine unakaribiana na Nyerere kabisa. Alijua madhaifu na hasira za wananchi juu ya utendaji mbovu wa Kikwete. Akajikita kurekebisha – alianza kuondoa mitandao ya wezi wa kodi bandarini mpaka wengine wakajifilisi kwa kuogopa kukaguliwa.

Tatizo, alijisahau akaanza kutumia cheo kupambana na wabaya binafsi akiwemo Manji. Hakujua urais ni nafasi ya kiroho na takatifu (assistant God). Pia udhaifu wake kimaumbile – ni mpenda sifa na hapendi kosolewa. Ilimgharimu.

Aidha, hakuwa na elimu ya uchumi na sheria. Japo alikuwa na nia njema, alifanya maamuzi ya kijinga mengi yaliyotugharimu – ikiwemo kununua ndege mbovu na kuvamia mikataba ya madini kiholela. Lakini pamoja na yote, Watanzania walimpenda, aliondoka yuko moyoni mwao na walimlilia kweli kweli.

5. MAMA SAMIA
Nimeandika kwa herufi kubwa makusudi. Naomba niseme toka moyoni – bila chuki binafsi wala ushauri wa maslahi yeyote. Mungu anisaidie.

Asee Mama, hivi unaishi Tanzania kweli? Maana suala la kuwa Watanzania hawakutaki liko wazi balaa. Naomba usitume hao wa ofisini kwako kuwa wajanja kama Magu, yeye aliunda wakwake. Wambie wakurekodie vijiwe vya kahawa – wanakusemaje.

Watu hawachukii Uzanzibar wako – je, mbona hawakumchukia Mwinyi? Hawachukii uanamke wako – naamini atakuja Rais mwanamke na atapendwa. Watu wanachukia mambo haya:
  1. Ulivyojifanyia mkataba wa kuachia bandari na misitu yetu kwa Waarabu, na kutumia wapuuz (wasanii, waandishi, wabunge kama Msukuma) kusukuma hilo kwa nguvu licha ya kila taasisi kukukataza. Nauhakika Rais ajaye atakuja kuvunja yote.
  2. Utajiri wa waliochini yako usiomithilika. Hili sina ushahidi, ila mama, maneno mtaani ni kwamba mwanao Abdu ana assets za mabilioni alizopata kipindi chako kifupi wakati juzi tu alikuwa muuza matairi wa kawaida.
  3. Kikwete – huyu yuko branded na Watanzania kama mwana mtandao mtiifu wa Rostam. Mimi nimesikia tu, sijui vyema, ila vijiweni wanamchukia kuliko shetani. Yeye ndiye alishindwa kukushauri juu ya kuuchukua ugombea kiufundi. Sasa leo tunaamini wewe sio mgombea halali wa CCM.
  4. Lissu – nimeamini Watanzania ni ndugu. Laiti ungejua mamilioni wangapi wanamlilia Mwenyezi Mungu juu ya Lissu, niamini, hutaiacha dunia bila kujuta. Watanzania (akiwemo Kikwete) wanaamini unamuogopa na unamtesa bila hatia. Hata ukimuachia – bado wanaamini hufai.
  5. Utekaji – hii hata watoto wa chekechea wangeweza kukuambia. Wanaotekwa lawama 100% ni wewe. Sasa mtu kama Mdude – unatoa wapi macho makavu ya kutoongelea?
Mama, mimi ni mjumbe tu. Naomba nisiuawi, nakuheshimu kama Mama, ila huu ndio ukweli. Naomba nikupe swali la tafakuri:

Ingia mitandaoni. Je, unajua siasa sio coverage number one?
Kimsingi hakuna anayefuatilia uchaguzi. Mada zinazoongelewa ni:
  1. Giggy Money kugombana na Anko T – sio sera zako.
  2. Diamond na Mbosso kugombana juu ya power.
  3. Zuchu kukosewa heshima na Wakenya.

Ni Mtu dhaifu zaidi kuliko wenzake wengine wote kabisa waliomtangulia, Nina Imani pia na hata wengine watakaofuatia baadaye
 
Kipimo cha kuchukiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni chuki zako tu ukweli uyu ndio kiongoz mwenye kupendwa zaid !!

chini ya utawala wake Wanaccm wengi wamejitokeza kugombea nafasi mbali mbali hii imevunja record ya CCM !!!

Uchaguzi wa Serikali za mitaa chini yake SAMIA kama mwenyekiti CCM imeshinda kwa 98% !!

na Uchaguzi huu Rais Samia Suluhu Hassan anaenda kuvunja record ya kuchaguliwa na watz wengi Zaid.!!

Usiniulize kwani anambambana nanani. Jibu lake Uchaguzi wa Serikali za mitaa CHADEMA kashiriki na kaangukia puaa chini ya SAMIA!!

Uchaguzi huu ni wao wenyewe CHADEMA ndio wameweka mpira kwapani kumkimbia japo tuliwatamani sana mje mchezoni !!!

Kukimbia ni wazo lenu SAMIA kashindikana wamemuogopa wameona wanaenda aibika..🤣🤣

kuna genge linachuki na SAMIA sababu kuu kukosa michongo Bandalini!!

Kama DP WORLD inafanyakazi vema na gawio Serikali inapata kubwa sana tofauti na zamani !!!!

lkn bandari kuna Genge walifanya Shamba la bibi sasa
kwao imekuwa ngumu mwendelee kula Ugali na tembele mpaka 2030 wezi wakubwa !!!

kwasasa Serikali japo pesa inaonekana TRA kutoka mwaka 2021 kuingia Madarakani SAMIA SULUHU HASSAN tu.
Trilioni 17 miaka minne tu sasaivi ni makusanyo ni Trillion 31 aibu yenu mnaetumika kumpinga Rais Samia Suluhu Hassan na magenge ya wezi Bandarini tunayajua DP mnawaita Warabu kipropaganda lkn mmekwama !!!

mkadai Samia ETI anaharibu nchi kivipi SAMIA ni mpango wa mungu mkuu. Kuliponya Taifa kutoka kwa wezi wakuu wa nchi hiiiiii tunawajuaa.

Na mkipewa nchi mwaka 2030 tunataka makusanyo TRA yaongezeke kama sasaivi chini ya SAMIA sio pesa zinaishia mifukoni mwenu !!
na TRA kudai mapato yameshuka majizi
wakubwa.,
Nimeacha kusoma uliposema uchaguzi asilimia 98% nkaelewa ww sio mtu wa haki nikaishia hapo
 
Anafanya vizuri zaidi kwa kupora uchaguzi hadi mchakato wa uchaguzi?

Mmeiharibu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, na sasa amemfunga mpinzani wa kweli Tundu Lissu anagombea na Salum Mwalimu mzanzibari snitch mwenzake, na wewe kilaza unasifia. Chawa mjinga jibu hili nikupe hoja nyingine.
Kaka polepole tutahamia kukomaa muungano ufe
 
Ni kawaida hiyo kwa watu wenye maajabu katika matendo yao. Katika wote, hakuna aliyefikia maendeleo aliyoyafanya Samia mpaka Sasa.....hakuna na itachukua miaka mingi kiasi kumpata mwingine. Miaka mitano inayofuata ndiyo itakuwa balaa.....atawapiga gapes mpaka haters mtaenda kujifukia kwenye vifusi mpotee. Yafuatayo haya ni baadhi tu;
1. Jangwani inaenda kuwa historia katika.....mafuriko bye bye,
2. Road networks Tanzania yoooote inaenda kuwa ndoto ya kweli,
3. N.k
Deni la taifa
Bandari
Ngorongoro
Gharama za matibabu
 
We kumbe ni bonge Moja la libwege, hebu kawashe moto jikoni huko uweke maharage ya supu ya asubuhi.
Hizo lugha za wapumbavu kama wewe unayelipwa buku 10 huku ujibu upumbavu, hivi siku hizi wenye akili Lumumba hawataki kazi?
 
Hizo lugha za wapumbavu kama wewe unayelipwa buku 10 huku ujibu upumbavu, hivi siku hizi wenye akili Lumumba hawataki kazi?
Heri yangu kuliko wewe unayesubiria tone tone ya kuwakamua wanyonge wasio na chochote.
 
Back
Top Bottom