Hakika CCM ni dude la ajabu ambalo halina muazini wala msoma swala.
Ukiona ya Wajumbe usishangae kuna ya watawala.
Msikilize vizuri makamu wa Rais asemayo hapa utagundua kuwa safari ya kumsafisha Makonda imeanza rasmi. Ni mjinga pekee ndiye hawezi kuliona hilo.
Hata wewe Mama Samia uliyesema maneno yale siku ile ya kuapisha viongozi wapya? Haiwezekani uwe unatumika namna hiyo, maana utatufanya tuone kuwa ni makosa kwa kinamama kuwapa nafasi za juu kwani hawawezi kusimamia misimamo yao.