barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Duh!!! shughuli ni pevu . Haya ma lugha haya ya mabeberu sijui wanayawekeaga nini ndani yaani ni magumuu ...hiiiHuu uzi bila kavideo hautanoga ati!😄😄😄
View attachment 1726688
Yes.Anapiga ngeli nzuri sana.
binafsi sikuwahi kumsikiaga mzee mwinyi akiongea kingereza siku niliyosikia kingereza chake kimenyooka hatari. Mama samia nimemsikia akionge, kimenyooka ila cha kipole pole vilele kama anavyoongea kiswahili...
😀😀😀
Vid hii hapa akiongea kimombo.Hey peeps, let’s have some little fun....shall we?
Si vibaya kuuliza kama Mama Samia anajua Kiingereza [emoji1787].
Kwa ‘kujua’ namaanisha ana uwezo wa kuongea Kiingereza kizuri, kinachoeleweka, na kilichonyooka.
Mama Samia nishawahi kumsikia akitumia maneno mawili matatu kwa kuyachomekea katikati ya Kiswahili.
Haikuwa fursa nzuri ya kupima uwezo wake.
Mwenye kujua, mwenye video zake akitema yai, n.k., hebu tuwekeeni hapa tuone.
Na Kasimu Majaliwa naye je?
Umemuelewa?Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Hapo anasoma.
Huu uzi bila kavideo hautanoga ati![emoji1][emoji1][emoji1]
View attachment 1726688
Ginehe,unamhala omishaga ?Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
AmenNina uhaika mwenyezi Mungu ameamua kutupunguzia majonzi yetu
Ni kipindi sasa cha kujipanga upya kama taifa.
Kuhusu samia wengi tuna wasiwasi na uwezo wake!! Wacha tuone
Hahahahahahahhahahaa john weeee......woga tupa kuleeeee🤣🤣🤣Yani mtu unaondoka duniani bila kujua kiingereza? Wasted life kabisa.
Huyu huyu Mwinyi mwenye diploma ya kiswahili alhaj dingi yake Rais wa zenj?Anapiga ngeli nzuri sana.
binafsi sikuwahi kumsikiaga mzee mwinyi akiongea kingereza siku niliyosikia kingereza chake kimenyooka hatari. Mama samia nimemsikia akionge, kimenyooka ila cha kipole pole vilele kama anavyoongea kiswahili...
😀😀😀
Ni kujua kiingerezaKujua Kiingereza ndio nini?
Wana ufipa tulishamwelewa kitambo.Yaani wote waliokwishachangia,hakuna hata mmoja amemwelea mleta mada.Mleta mada kaongea kwa kutumia code, ni wateule wachache ndiyo watamwelewa.
😆😆😆😆Kiingereza ni kiswahili cha dunia, ukiwa na madaraka halafu umepata elimu yako kwa lugha hiyo, ni aibu na fedheha kutokuijua fullstop.
Kimekusaidia kuandika “bull shiit” [emoji1787][emoji1787]
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!