Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

Wewe binafsi utafaidika na nini safaricom ikiingia Tz? Bidhaa za malkia na Odinga family za Unilever zikiingia Tz una faidika na nini?
Have you ever heard of something called shares? Kama ushaiskia then you shouldn't ask such lame question.
 
Wewe binafsi utafaidika na nini safaricom ikiingia Tz? Bidhaa za malkia na Odinga family za Unilever zikiingia Tz una faidika na nini?
Na wewe unawashwa washwa kwa nini?
 

Sijahamisha maana tunawazidi kuwekeza kwenye mataifa yote majirani zenu, nyyie waoga waoga tu halafu wazembe wa kutupwa, kwenu huko labda Wachagga tu ndio huwa na uthubutu na kwa kweli wapo wengi huku wamewekeza, lakini wengi wenu aidha mje mjitangaze waganga wa kienyeji akina kinjeketile au omba omba, hamna zaidi ya hapo.
 
Kibinafsi mimi sioni kama Kenya itafaidika sana kutokana na uhusiano wetu na Tanzania. Malazy wana wivu na Kenya. Sasa wakiona tunafaidika wanaanza kufunga border na kufuriana kama mandazi. Sasa unategemea kufanya biashara vipi na jirani anayekuonea wivu? Jirani mjinga anayesema kwamba tunamuibia rasilimali zake. Aisee kula na kipofu ni kazi ngumu sana.
 
Anakuja Waziri kwa niaba. Rais anaratiba za kufanya. Waziri wa Biashara anatosha.
 
Have you ever heard of something called shares? Kama ushaiskia then you shouldn't ask such lame question.
Bwana mapesa kumbe uko na share safaricom na Unilever... Hahaha huyo supplier wako wa leo amenyonga kitu kiko firifiri kweli... Usimuacheee
Na wewe unawashwa washwa kwa nini?
Tony... Hahaha tulia...

Usitegemee jipya sana.. Tegemea kufinywa huku unachekewa. Tofauti na mwanzo ilikuwa ni live show show.. Saiv Kuna tactical change.. Same aim.
 

Yaani Tanzania iwaonee wivu Kenya!!!?
 
Kuna fursa gani hapo kenya watu waje chap chap kuwekeza?
 
Najua Suluhu amelazimika kuja Kenya after bidhaa karibu Zote za TZ kupigwa Ban,inchi imefilisika na wakulima waTZ wanateta pamoja na Makampuni zao zinaenda losses.Msiwai Dharau Sisi Wakenya,🇰🇪We are the Customers,respect us
 
Najua Suluhu amelazimika kuja Kenya after bidhaa karibu Zote za TZ kupigwa Ban,inchi imefilisika na wakulima waTZ wanateta pamoja na Makampuni zao zinaenda losses.Msiwai Dharau Sisi Wakenya,🇰🇪We are the Customers,respect us
Mzee yani Rais aje Kenya!!? Thubutu!!
 
Najua Suluhu amelazimika kuja Kenya after bidhaa karibu Zote za TZ kupigwa Ban,inchi imefilisika na wakulima waTZ wanateta pamoja na Makampuni zao zinaenda losses.Msiwai Dharau Sisi Wakenya,[emoji1139]We are the Customers,respect us
Hujielewi Nchi nyingi zinatuzunguka Kenya sio nchi pekee tuaziuzia chakula sisi tunauza vyakula mpaka nchi za kusini mwa afrika.uchumi wa Tanzania unaendelea kukua vizuri.atakaye adhirika ni nyie mtakufa njaa.
 
Naomba yafanyike haya kwenye mazungumzo
1. Free boarder movement kumuwezesha Mtanzania/ Mkenya kufanya biashara bila vikwazo in either of the country
2. Kenya Airways ifanye Allience with Tanzania Airline kuteka soko la Aviation Industry kwa ajili ya ku compete with Ethiopia Airline/ Rwanda Airlines/Qatar Airline
 
get ready to see more kenyans coming to Tz and het employed
 
Fantastic, Tanzania welcomes investors..let them come, employ Tanzanians, pay taxes an buy tz made goods to build their factories/ offices
 
Sasa tutakuja kuwekeza kwenye nini huko jangwani? Nchi yenye uchumi hewa na rasilimali zimeshikwa na wachache..
Wewe mwenyewe hapo ulipo, hivi waweza wekeza nini huku KE, wakati huna hela, wacha wakina dagotee waongee hivyo sio wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…