Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It'll be great. Lakini hapo kwa Qatar Airlines mkuu, hebu itoe kwa hiyo list kwanza. Tu deal na Afrika kwanza kabla tupambane na wale jamaa wa kanzu nyeupe! 🤣Naomba yafanyike haya kwenye mazungumzo
1. Free boarder movement kumuwezesha Mtanzania/ Mkenya kufanya biashara bila vikwazo in either of the country
2. Kenya Airways ifanye Allience with Tanzania Airline kuteka soko la Aviation Industry kwa ajili ya ku compete with Ethiopia Airline/ Rwanda Airlines/Qatar Airline
Mimi sio gum sniffer kama wewe burukenge wa lower Karen...Wewe mwenyewe hapo ulipo, hivi waweza wekeza nini huku KE, wakati huna hela, wacha wakina dagotee waongee hivyo sio wewe!
Tanzanite yenu hata haina pesa. Mnapenda kujipiga kifua na vitu vya ujinga. Gold ndio kitu kinacholetea Tanzania pesa. Mlitengeza almost $3 billion mwaka uliopita kupitia dhahabu. Tanzanite ni upuuzi tu. Hampati pesa yoyote pale.naona wakenya wanarudi tena kwenye migodi. Tanzanite inakuja kuibiwa tena
naona wakenya wanarudi tena kwenye migodi. Tanzanite inakuja kuibiwa tena
A very stupid comment as usual. Yaani kabla hata Mhe. Samia.hajatua Kenya na kufanya mkutano tayari arrogance imeanza from an arrogant and stupid Kenyan!!! You people you don't learn.. Yaani hata akili huna kujua watu wa Mhe Mama Samia wako wanaofustilia public opinion kwenye Social media na mainstream media....Yaani unataka kuharibu kile kilichopangwa kujadiliwa.....very stupid..Mpaka umeniquote mara mbili, kweli mnaumia, halafu naona mama kachaguliwa 100% ndani ya chama.....poleni "gang"
A very stupid comment as usual. Yaani kabla hata Mhe. Samia.hajatua Kenya na kufanya tayari arrogance imeanza from an arrogant and stupid Kenyan!!! You people you don't learn.. Yaani hata akili huna kujua watu wa Mhe Mama Samia wako wanaofustilia public opinion kwenye Social media na mainstream media....Yaani unataka kuharibu kile kilichopangwa kujadiliwa.....very stupid..
....
Very stupid...wait and watch the coming saga...Hehehe mataga naelewa kiini cha hasira zote hizi, na mtakoma mlizoea kulelewa.
kaa kwa kutulia... hakuna kubana bana tena. Mama mwenyewe ameridhia. tarehe 04/05 anakuja mzima mzima kuja kuachia. kitakochofuata ni sisi kumimina magoliA very stupid comment as usual. Yaani kabla hata Mhe. Samia.hajatua Kenya na kufanya tayari arrogance imeanza from an arrogant and stupid Kenyan!!! You people you don't learn.. Yaani hata akili huna kujua watu wa Mhe Mama Samia wako wanaofustilia public opinion kwenye Social media na mainstream media....Yaani unataka kuharibu kile kilichopangwa kujadiliwa.....very stupid..
....
Wacha kuita watu stupid. Wewe ndio unajiona genius sana? Utakuwa una IQ ya kuku na upo hapa ukitukana watu.Very stupid...wait and watch the coming saga...
Jidanganye wanaoruhusiwa ni wawekezaji walioserious.serikali ipo makini kulinda maliasili za Watanzania mama ni new version ya magufuli.kaa kwa kutulia... hakuna kubana bana tena. Mama mwenyewe ameridhia. tarehe 04/05 anakuja mzima mzima kuja kuachia. kitakochofuata ni sisi kumimina magoli
Kweli nyie nyang'auYaani nyie huwa mnachekesha na kutia huruma, tumewazidi kuwekeza hata hapo DRC ambao hatuchangii mpaka nao, yaani mpo mpo tu....
Mama ana nia njema ila nyie ni wale wale sijui kama kuna namna atabadilisha muache huo uwoga uwoga na uzembe.
Ulitaka Tanzania ije kuwekeza nini kwenye desert? Chakula tunachowalisha Kenya yote ni uwekezaji tosha kabisamkuu, Kenya ina makampuni 529 ndani ya Tanzania, against Tanzania's 23 ndani ya Kenya kufikia mwaka 2016.
I hope you know what I mean.
After all the talk, one thing remains crystal clear, all roads in this region lead to Nairobi.I like this part, " The Tanzania Head of State will be seeking to lure Kenya’s business community to consider investments in the neighbouring country. "
Hahaha hivi unazijua hizo companies zenye utambulisho wa Kenya au unabwatuka tu?tunawapiga bao hawa ndugu zetu wavivu kwa kila kitu ndio maana hata ugomvi ukitokea baina ya nchi hizi mbili, huwa wanajifurisha vifua wakijua hawana lolote la kupoteza ilhali ni sisi ndio tumeshikilia uchumi wao.
ni wa kuhurumiwa sana hawa.
naomba Mama aendelee kufungua nchi ili tuzidi kumimina magoli.
Tunawalisha 100% na uchumi wenu wa makaratasi na mikopoNajua Suluhu amelazimika kuja Kenya after bidhaa karibu Zote za TZ kupigwa Ban,inchi imefilisika na wakulima waTZ wanateta pamoja na Makampuni zao zinaenda losses.Msiwai Dharau Sisi Wakenya,🇰🇪We are the Customers,respect us
Shida ya Kenya ni dishonesty! Kumwamini Mkenya inahitaji moyo wa chuma. Kama hata JPM aliingizwa chaka na best wake -!Japo haya mataifa tumekua watani wa jadi, ila hatukuwahi kufikia kwenye kilele cha chuki ambacho tumeshuhudia miaka michache ya hivi majuzi, hongera sana mama, binafsi nitaacha shughuli zangu ili tu nikuone hata kama wapambe hawataruhusu tukukaribie sisi akina Yahaya wa mtaani......
==========================
![]()
President Uhuru Kenyatta speaking with Tanzania's President Samia Suluhu
FILE
Tanzania’s President Samia Suluhu is expected to arrive in Nairobi in the next few days for a state visit.
First among President Suluhu’s to-do list is meeting with President Uhuru Kenyatta at State House which will mark the end of a 5-year period since a Tanzania Head of State last visited Kenya.
The discussion will range from bilateral matters and areas of cooperation in terms of regional trade policies that have suffered tensions in recent years.
![]()
President Uhuru Kenyatta greeting Tanzania's President Samia Suluhu during the funeral service of the Late John Magufuli
FILE
After meeting with Kenyatta, Suluhu has planned a roundtable with the local business community and private sector.
The Tanzania Head of State will be seeking to lure Kenya’s business community to consider investments in the neighbouring country.
She is keen on revising the hostile economic policies introduced by her predecessor John Pombe Magufuli - that were particularly punitive on Kenyan-owned businesses.
Investors have suffered losses due to the tense trade ties between the two countries that have caused the destruction and seizure of goods.
President Suluhu has kickstarted an aggressive campaign to improve what her administration has termed as economic diplomacy.
In her recent first address to Parliament since assuming the role of President, she communicated that her administration would promote investments by creating a good business environment.
“The government will be taking specific steps to promote investment by looking into investment policies, laws, and regulations, remove clauses that are hampering smooth investments, including unpredictable policies, an unstable tax system and unnecessary bureaucracies,” she stressed.
President Suluhu’s visit to Kenya comes just months after her trip to Uganda where she signed the Ksh400 billion East Africa Crude Oil Pipeline deal.
- Uganda’s oil pipeline will be built through Tanzania instead of Kenya as initially planned.
Kenya lost out on the deal after Uganda raised concerns about the feasibility of the pipeline going through Kenya.
![]()
President Yoweri Museveni welcomes President Samia Suluhu to Uganda on March 11, 2021![]()
Uhuru Confirms Tuesday's Meeting With Visiting Tanzanian President
Tanzania’s President Samia Suluhu is expected to arrive in Nairobi in the next few days for a state visit.www.kenyans.co.ke
Tunawajua bana....sitegemei mama ataendelea kuwadumisha nyie watu wa buku saba maana yeye haonyeshi kuishi kwa misifa.
Umesahau Equity, KCB.Hahaha hivi unazijua hizo companies zenye utambulisho wa Kenya au unabwatuka tu?
Unilever
Barclays
Aga Knan
Jubilee insurance
Standard Chartered
Diamond TB
Nestel
Etc
Hizi ni International companies kubwa, sio kwamba ni mkikuyu au luo hapo 😅😅😅