Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Major shareholders ni wazungu tupuHuyo David Ansell amekuwa appointed kuwa chairman na anapokea mshahara ila yeye sio mmiliki wa Equity. Major shareholders wa Equity wanajulikana ni akina nani. Na wala sio siri.