Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

Ask your MPπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Don't drag God into this...he gave us all brains but you wasted yours on ujamaa

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… certain Chadema ninconpoop ndio yardstick yako?
 
hilo BBI Lenu linachochea ukabila badala ya kuundoa

Futeni lugha za baadhi ya makabila kufundishwa mashuleni pigeni marufuku mtu kutumia kilugha ofisi za serikali na mikutano ya hadhara iwe ya kisiasa au yeyeyote

Pigeni marufuku media zote iwe magazeti radio au TV kutumia lugha za kikabila

Bila hayo ukabila kenya hautaisha
 
Nyinyi mumeua lugha zenu za asili na kusahau mila na desturi zenu kwa sababu Mwalimu Nyerere aliwafunza kuchukia lugha zenu za asili. Unadhani kila mtu anataka kufuata mkondo huo wenu wa ujinga?
 
Kenya lugha inatumika kuchochea ukabila ndio tatizo KOTE AMBAKO LUGHA HUCHOCHEA UKABILA huwa wanatwangana kenya,rwanda na burundi nk tatizo ni kubwa ,Tanzania pekee ndio tuko salama sababu tulilishiughulikia mapema kabisa
 
Mnapojipaga moyo as if Tanzania will not ask for her share too! It is win-win less than that! The Impasse will remain!
You have more tarriff barriers against our goods than we have against yours, So the problem has never been us! Infact most of our tarriff barriers have been a reaction to yours meaning if you remove yours we will just reciprocate.
 
which Kenyan goods can u bring evidence? Or you mean counterfeit sugar? The common market for theregional block states which goods r exempted from tarrifs! And JPM has been fair on that!
 
Kenya lugha inatumika kuchochea ukabila ndio tatizo KOTE AMBAKO LUGHA HUCHOCHEA UKABILA huwa wanatwangana kenya,rwanda na burundi nk tatizo ni kubwa ,Tanzania pekee ndio tuko salama sababu tulilishiughulikia mapema kabisa
Ni kweli mulilishugulikia jambo hilo kwa kusahau lugha zenu za asili.
 
Mama Samia asisahau kwenda na barakoa, wakenya wanaabudu miungu wawili mungu wa kwanza ni Corona wa pili ni barakoa
 
which Kenyan goods can u bring evidence? Or you mean counterfeit sugar? The common market for theregional block states which goods r exempted from tarrifs! And JPM has been fair on that!
Milk, cigarette, tour vans.... etc.
This issue is well documented by the EAC secretariet
 
Ni kweli mulilishugulikia jambo hilo kwa kusahau lugha zenu za asili.
Zipo zote mkuu Tony254 na watu wanaziongea hata kwenye mabasi na baa. Sisi huku watu wamechanganyikana sana (intermarriages) kiasi kwamba ukabila sio ishu tena…
 
Nyinyi mumeua lugha zenu za asili na kusahau mila na desturi zenu kwa sababu Mwalimu Nyerere aliwafunza kuchukia lugha zenu za asili. Unadhani kila mtu anataka kufuata mkondo huo wenu wa ujinga?
Lugha za asili zilizouliwa ni zipi?hujawahi hata tembelea tz ukajionea utamaduni unaongeaongea tu.
Unajua tz Ina makabila mangapi?zaidi ya 200
Na unajua kila kabila Lina lugha yake?
Na lugha rasmi ya taifa ni Swahili!!

Hebu imagine Leo waziri anahutubia kizaramo,mbunge anachangia hoja kikurya,anakuja rais anajibu kipemba ingekuwaje.lugha zipo tena kwa mamia hazijafa
Na hata likitokea mfano huo hapo nliotaja taharuki pekee itayotokea ni kutoelewana sababu ya u tofauti wa makabila.mchaga hatoelewa mzenji anasema nini..mkurya hatoelewa msukuma anaongea nini..na sio taharuki na chuki za ukabila kama huko kwenu.
Umepewa ushauri mzuri,mnasumbuliwa na chuki za ukabila.acheni kutumia lugha za asili za makabila kwenye maofisi mpate umoja unaanza kupanic eti nyerere aliua lugha za asili.aliziulia wapi?

Una kumbuka majuzi kiongozi wenu alivoongea kilugha kwenye redio ikawaje?
Kubali kurekebishwa
 
Milk, cigarette, tour vans.... etc.
This issue is well documented by the EAC secretariet
tourvans ziingie nationalparks zetu under what circumstance hamna nationalpark zenu? Mtakufa mkingoja! Cigaretes where do u grow tobacco in Kenya?

Hebu pitia common market agreements uone!

Milk mbona mnazuia Uganda milk? Mkidai ku-protect ur local dairy industry? Why can't Tanzania do the same?

hilo BBI Lenu linachochea ukabila badala ya kuundoa

Futeni lugha za baadhi ya makabila kufundishwa mashuleni pigeni marufuku mtu kutumia kilugha ofisi za serikali na mikutano ya hadhara iwe ya kisiasa au yeyeyote

Pigeni marufuku media zote iwe magazeti radio au TV kutumia lugha za kikabila

Bila hayo ukabila kenya hautaisha
Too late for them
 
Nyinyi mumeua lugha zenu za asili na kusahau mila na desturi zenu kwa sababu Mwalimu Nyerere aliwafunza kuchukia lugha zenu za asili. Unadhani kila mtu anataka kufuata mkondo huo wenu wa ujinga?
Lugha zipi za asili zilizokufa, mbona uko ignorant sana Kijana, Tembea kijana, huku Lugha za asili na tamaduni zipo kama kawa na Lugha rasmi ya Taifa ni Kiswahili. Your biggest problem was your first president, he was a selfish tribalist thug.
 
Nyinyi mumeua lugha zenu za asili na kusahau mila na desturi zenu kwa sababu Mwalimu Nyerere aliwafunza kuchukia lugha zenu za asili. Unadhani kila mtu anataka kufuata mkondo huo wenu wa ujinga?

Mnakumbatia lugha zenu za asili kwani mnataka KUTAMBIKA?
Badala ya kumshukuru Nyerere na waTanzania kuwafundisheni kiswahili na kukienzi mnaanza kuongea sijui vitu gani.
SADC yoote kiswahili kimewekwa kwenye silabasi ya kama somo. Na mrejesho uliopo ni kuwa, mwanzoni ilitakiwa uwe elective module. Lkn baada ya kuona kila mwanafunzi anataka kujifunza. Wameamua kulifanya somo la kusoma kwa kila mmoja.
 
Nyinyi mumeua lugha zenu za asili na kusahau mila na desturi zenu kwa sababu Mwalimu Nyerere aliwafunza kuchukia lugha zenu za asili. Unadhani kila mtu anataka kufuata mkondo huo wenu wa ujinga?
Sio ninyi hutuita Kinjekitile sababu ya kukumbatia utamaduni wetu?

Nyerere hakukataza lugha za kikabila bali alikataza ukabila, ukabila sio lugha tofautisha tribalism na lugha

Nyerere alihimiza kuenzi utamaduni na jadi zetu kwa kutengeneza kitu kinaitwa utani wa kikabila, kila kabila Tanzania lina kabila rafiki ambao ni majirani na wanasaidiana na kutaniana in a simple way ni kama ujirani mwema yaani kabila na kabila liwe na mahusiano mazuri na muingiliano chanya kama kushiriki kwenye shughuli za uzalishaji mali, kilimo, kuoana, kusaidiana na kushirikiana kiujumla

Matokeo yake sera hii ya Nyerere imekuja sio tu kuunganisha makabila jirani bali makabila yote Tanzania mzima yameshikamana na wanaruhusiwa kuenzi mila na desturi zao lakini pale panapokua na shughuli ya kabila zaidi ya moja ni marufuku kuongea kikabila, sio sababu kikabila hakifai bali sababu hakuna maana kuongea lugha ambayo sitakuelewa wakati ipo lugha inayojulikana na kila mtanzania.
 
Hawa Kenge ni wapumbavu sana! Wanafikiria wao tu ndo wanaongea vernaculars!
 
Ni muendelezo wa upumbavu wa wakenya kuwa misinformed kuhusu Tanzania, ni kama walivyoaminishwa Tanzania wana hali dhoofu sana na wao ndio waliopiga hatua kubwa ila ndogo ndogo wanatambua namna walivyokua brainwashed na viongozi wao

Screenshot_20210502-185505.png
 
Back
Top Bottom