Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hahaha. Hii kauli ni nzito sana.kaa kwa kutulia... hakuna kubana bana tena. Mama mwenyewe ameridhia. tarehe 04/05 anakuja mzima mzima kuja kuachia. kitakochofuata ni sisi kumimina magoli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Hii kauli ni nzito sana.kaa kwa kutulia... hakuna kubana bana tena. Mama mwenyewe ameridhia. tarehe 04/05 anakuja mzima mzima kuja kuachia. kitakochofuata ni sisi kumimina magoli
Nchi yenu imezungukwa na Nchi za wakulima Sasa mtauzia wakulima na Ni Kama nyinyi Tu.kwanza Kenya Ndio Nchi inakula Ugali kwa wingi na wivu yenu mpaka mnafukuza sisi Customers,Tutanunua kwingine Mkicheza😃Hujielewi Nchi nyingi zinatuzunguka Kenya sio nchi pekee tuaziuzia chakula sisi tunauza vyakula mpaka nchi za kusini mwa afrika.uchumi wa Tanzania unaendelea kukua vizuri.atakaye adhirika ni nyie mtakufa njaa.
Wakenya hamuaminiki. Mlipopokea mahindi kutoka DRC kwasababu mna mnalolitafuta huko mkatuletea ngonjera za mahindi yetu naya Uganda yanasumu. Njaa ikiwashika mnatuita ndungu moja. Nyie Omera shida sana kudeal nanyi.Nchi yenu imezungukwa na Nchi za wakulima Sasa mtauzia wakulima na Ni Kama nyinyi Tu.kwanza Kenya Ndio Nchi inakula Ugali kwa wingi na wivu yenu mpaka mnafukuza sisi Customers,Tutanunua kwingine Mkicheza😃
😃Correction,Tunanunua we are CUSTOMERS wwe Bongo lala,Tukiona hatupendi Duka yenu Tunaweza badilisha ,we have the Money🤣🤣🤣🤣🤣Tunawalisha 100% na uchumi wenu wa makaratasi na mikopo
Equity ni International nayo partly sababu ni mali ya mzungu 80%Umesahau Equity, KCB.
Hizo pia ni international?
Tutanunua Mexico ikuje na Ndege za JKIA🤣🤣🤣Wakenya hamuaminiki. Mlipopokea mahindi kutoka DRC kwasababu mna mnalolitafuta huko mkatuletea ngonjera za mahindi yetu naya Uganda yanasumu. Njaa ikiwashika mnatuita ndungu moja. Nyie Omera shida sana kudeal nanyi.
Sio Mali ya Mzungu Ni Mali ya Serikali ya Kenya,labda uje uchukue shares na iyo 80% Ni ya serikaliEquity ni International nayo partly sababu ni mali ya mzungu 80%
Sio Mali ya Mzungu Ni Mali ya Serikali ya Kenya,labda uje ununue sharesEquity ni International nayo partly sababu ni mali ya mzungu 80%
Acheni kujimwambafy wakati kila kitu mnatutegemea,muache chokochoko zenu za kijinga,muache kuchafua mahindi yetu.Mpaka umeniquote mara mbili, kweli mnaumia, halafu naona mama kachaguliwa 100% ndani ya chama.....poleni "gang"
Itategemea huko Mexico mnabeba sembe ipi ,sembe ugali au sembe Elchapo.Nyie nyang'au acheni kujikomba komba.
Ni mali ya serikali ya kenyatta familySio Mali ya Mzungu Ni Mali ya Serikali ya Kenya,labda uje ununue shares
No problem Bora Ni Mkenya🇰🇪🔥🔥🔥🔥na sio mTZNi mali ya serikali ya kenyatta family
Na hizi zenye usajili wa Kenya tz ni mali ya nani?Sio Mali ya Mzungu Ni Mali ya Serikali ya Kenya,labda uje ununue shares
Sio Mali ya Mzungu Ni Mali ya Serikali ya Kenya,labda uje ununue shares
David Ansell president wa equity unamjua?Sio Mali ya Mzungu Ni Mali ya Serikali ya Kenya,labda uje uchukue shares na iyo 80% Ni ya serikali
Wakenya watakwambia David Ansell ni Mkikuyu.
Aliyekuroga kafa.Equity ni International nayo partly sababu ni mali ya mzungu 80%
Huyo David Ansell amekuwa appointed kuwa chairman na anapokea mshahara ila yeye sio mmiliki wa Equity. Major shareholders wa Equity wanajulikana ni akina nani. Na wala sio siri.
Walivyo na akili ndogo wanafikiri yupo mkenya wa kumiliki company ya $5 billionWakenya watakwambia David Ansell ni Mkikuyu.