johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais siyo mtumishi mwenzako bwashee!Bwashee! Sisi watumishi wa umma pia tunatambulika kama Public Servants!! Huwa tunafanya kazi zetu katika mazingira ya uwazi!
Ni wakati sasa wa kutuambia, mtumishi mwenzetu wa umma yuko wapi?
Aje atusalimu mwenyewe. Hatutaki salamu za kupitia kwa mawakala!Kwa kawaida wamama wengi hawawasahau waliowabikiri. Sasa jamaa yawezekana alibikiriwa na hayo mabavicha
Kawapungia na mkono kabisaHe heeeeeeeee....... eti "Rais anawasalimia"
Mtapigwa kabla hamjaamkaNi haki yetu bila hivyo tuandamane.#
Bring back our president#
Hahaha anatuma salamu kupitia sanduku la Posta?Aje atusalimu mwenyewe. Hatutaki salamu za kupitia kwa mawakala!
Bwashee yule ndiye Mtumishi Namba Moja wa Umma wa Nchi hii!! Ni Mtumishi mwenzetu yule!Rais siyo mtumishi mwenzako bwashee!
Yule ni Mwajiri namba 1 bwashee!Bwashee yule ndiye Mtumishi Namba Moja wa Umma wa Nchi hii!! Ni Mtumishi mwenzetu yule!
Sasa kama wewe unasema siyo Mtumishi, utuambie basi ni nani hasa? Usisahau hivyo vyeo mlivyo mzawadia huko ccm, havimuondolei utumishi wake wa umma Bwashee.
Ziarani akichapa kazi. Kwa sasa yuko na ziara ipi ewe taga?Kwa kawaida rais anatakiwa kuwa wapi?
Kuna ratiba yeyote unayo inayoonesha kwamba ilitakiwa awe ziarani na hajatokea?Ziarani akichapa kazi. Kwa sasa yuko na ziara ipi ewe taga?
Utafanya uzi ufungwe wa nyumbaniNaskia uko watu wanachota kwenye ma sulfate anasema Rais wa tweeter rais toka ulipo uje kuondoa utata
Mibavicha itakwambia yuko wapi!
Hii mijitu bure kabisa
Sasa ewe taga unataka kubisha nini? Kwani ratiba ya mwenyekiti wenu si inajulikana kila kitu kipo kimepangwa kutokana na itifaki zenu za chama chenu chakavu. Sasa mtuambie yuko wapi ndugu mwenyekiti..Kuna ratiba yeyote unayo inayoonesha kwamba ilitakiwa awe ziarani na hajatokea?
Unayo ewe sukule la wahuni?
Sawa wa nyumbaniUtafanya uzi ufungwe wa nyumbani
Mkeka bado tuu!!!?
Au ukiona mgonjwa ameanza anaongea ujue huyo mtaonana paradiso๐๐๐๐๐