Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Rais siyo mtumishi mwenzako bwashee!
Bwashee yule ndiye Mtumishi Namba Moja wa Umma wa Nchi hii!! Ni Mtumishi mwenzetu yule!

Sasa kama wewe unasema siyo Mtumishi, utuambie basi ni nani hasa? Usisahau hivyo vyeo mlivyo mzawadia huko CCM, havimuondolei utumishi wake wa umma Bwashee.
 
Bwashee yule ndiye Mtumishi Namba Moja wa Umma wa Nchi hii!! Ni Mtumishi mwenzetu yule!

Sasa kama wewe unasema siyo Mtumishi, utuambie basi ni nani hasa? Usisahau hivyo vyeo mlivyo mzawadia huko ccm, havimuondolei utumishi wake wa umma Bwashee.
Yule ni Mwajiri namba 1 bwashee!
 
Hichi kiwanda cha Matunda kinazinduliwa mara ya 200 sasa na Serikali ya CCM

Nakumbuka kilikuwa Tangold
 
Naskia uko watu wanachota kwenye ma sulfate anasema Rais wa tweeter rais toka ulipo uje kuondoa utata
 
Kuna ratiba yeyote unayo inayoonesha kwamba ilitakiwa awe ziarani na hajatokea?

Unayo ewe sukule la wahuni?
Sasa ewe taga unataka kubisha nini? Kwani ratiba ya mwenyekiti wenu si inajulikana kila kitu kipo kimepangwa kutokana na itifaki zenu za chama chenu chakavu. Sasa mtuambie yuko wapi ndugu mwenyekiti..
 
Mkeka bado tuu!!!?

Au ukiona mgonjwa ameanza anaongea ujue huyo mtaonana paradiso😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom