johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rais siyo mtumishi mwenzako bwashee!Bwashee! Sisi watumishi wa umma pia tunatambulika kama Public Servants!! Huwa tunafanya kazi zetu katika mazingira ya uwazi!
Ni wakati sasa wa kutuambia, mtumishi mwenzetu wa umma yuko wapi?