Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Kama walivyodhoofu wale walioenda kummiminia binadamu mwenzao risasi 36 halafu hajafariki, anadunda mpaka leo, Mungu hadhihakiwi, ninyi wakristo hubirini neno la kweli neno lililopo katika maandiko matakatifu.
Ndilo ninalolihubiri na hakuna sehemu nilifuraha kile kitendo.
 
Nimeingia Twitter mida hii kunatisha maana kuna habari mbaya zaidi kuhusu mkulu na Hali yake ya ugonjwa hakika Kama ni kweli basi ni muujiza Tu unahitajika.....
MGonjwa wetu anahitaji maombi makubwa Sana vinginevyo MUNGU ndiye anajua
dondoo mkubwa tujue na sisi
 
Hii serekali iliyofitinika imekubuhu kwa uongo. Kama Rais ni mzima ajitokeze watu wamuone kwani ugumu hapo uko wapi? Wanachofanya ni kudanganya wapumbavu wachache ambao hawajui kuhoji na ambao hawawezi kutenganisha kati ya ukweli na uongo.
Wewe unatakaje? Mpumbavu ni yule anaye lazimisha hisia zake na mtazamo wake uwe kama atakavyo!
 
Nimeingia Twitter mida hii kunatisha maana kuna habari mbaya zaidi kuhusu mkulu na Hali yake ya ugonjwa hakika Kama ni kweli basi ni muujiza Tu unahitajika.....
MGonjwa wetu anahitaji maombi makubwa Sana vinginevyo MUNGU ndiye anajua
Huko tweeter waliisha sema amefariki, sasa tena amekuwa mgonjwa hali mbaya !!!

Hakika mtu akikuita NYUMBU unatakiwa kupigana mpaka tone lako la mwisho la damu.
 
Nimeingia Twitter mida hii kunatisha maana kuna habari mbaya zaidi kuhusu mkulu na Hali yake ya ugonjwa hakika Kama ni kweli basi ni muujiza Tu unahitajika.....
MGonjwa wetu anahitaji maombi makubwa Sana vinginevyo MUNGU ndiye anajua
Unawaamini twitter?
 
Mkuu dokeza kidogo hata kwa screenshot mbili tatu ili watu wa jamuhuri ya Stanza waone kinachoendelea
 
Mibavicha itakwambia yuko wapi!

Hii mijitu bure kabisa
7014147B-B793-453C-BFCF-716C6796B615.jpeg
 
Ahsante bi Samia kwa salamu, tunaomba utupelekee na salamu zetu mwambie tunataka atuhutubie kwa televisheni ili sote tuone kuwa kweli ni mzima na anachapa kazi. Dakika zake tatu tu adhimu ndio tunazoziomba.
 
Hivi anaposema kipindi hiki tushikamane tuchape kazi anakuwa na maana gani kwani kwenye kipindi hiki kuna nini?

Akimaanisha kipindi hiki cha maneno maneno mengi kutoka Ubelgiji, hivyo watu washikamane , kuliko kusikiliza habari ambazo hata hao wanao zitoa awatuambii chochote cha maana, zaidi ya kuuliza maswali tuu , Rais yupo wapi? Rais yupo? Majibu yanatolewa yupo anapiga kazi,lakini bado upande wa pili unakataa unasema hapana watueleze zaidi, hii inakuwa kama utoto vile,Lissu kama yupo na taarifa kamili aseme Rais yupo wapi na hali yake hivi na hivi.tutakao amani sawa na tutakayo amini majibu ya Serikali sawa..

Kifupi taarifa ya kuhusu mgonjwa anaumwa nini hili siku zote linakuwa jukumu la Daktari na mgonjwa wake, laiti kama mgonjwa mwenyewe ameruhusu ugonjwa wake utangazwe hapo ni issue nyingine, Swali linakuja je kama Rais ni mgonjwa kama inavyoelezwa na Lissu? Aliruhusu wapi kwamba akiumwa taarifa za Ugonjwa wake zitangazwe?

Watanzania tuache muda ndio msema kweli.. Atuwezi kuficha kifo, Hakuna mwanadamu mwenye nguvu ya kuficha kifo cha mwenzake.. Rais ni binadamu kama mimi na wewe na wengine amezungukwa na watu ndugu jamaa na marafiki wenye hisia nae na upendo nae na huruma nae, anapozushiwa kifo , hivi kweli tusingeona Sura za hudhuni na majonzi za Wanafamilia, watendaje wake, Wabunge?

Tuacheni hii tabia .. ukiangalia shughuli za kiserikali na watumishi wote wanapiga kazi je hawana huruma na Rais , hawana masikitiko na Rais ? Inasikitisha sana kuona Chadema wanaimba mpaka nyimbo za mapambio na za vifo, Nilikupenda sana Lissu na Chadema hila kwa hili kumzushia Kifo Rais sitokaa niwapigie Kura hata siku moja
 
Nimeingia Twitter mida hii kunatisha maana kuna habari mbaya zaidi kuhusu mkulu na Hali yake ya ugonjwa hakika Kama ni kweli basi ni muujiza Tu unahitajika.....
MGonjwa wetu anahitaji maombi makubwa Sana vinginevyo MUNGU ndiye anajua
Wewe shauri yako, kama huogopi kuburuzwa kwa kuvutwa kola ya shati sawa! Wenzako wameuliza alipo tu na wamejikuta pabaya.
 
Wakuu umofia kwema?
Tangu kuanza kuenea kwa hizi tetesi tumekuwa tukiaminishwa sana na viongozi wetu watukufu kuwa tuzipuuze.

Hatua iliyopo Sasa Ni hofu kuu nchi nzima. Watanzania wote hata wasio jua mitandao ya kijamii wanasemezana kimya kimya kuhusu afya ya kiongozi wetu mtukufu!

Kwanini hofu hii iendelee pasipo sababu ya msingi. Tunawaombeni Kama mtukufu anaumwa Tuambiwe hofu Ni kubwa mno.

Kauli ya Mama Samia Leo ndio imezua hofu maradufu! PM Ameahirisha ziara amerudi jikoni.

Tunaombeni mamlaka izungumze Hali ya kiongozi wetu hofu Ni kubwa Sana mitaani bila sababu ya msingi.
 
Acha hofu mkuu,mtangulize Mungu katika kila jambo...
 
Back
Top Bottom