USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Wenye rais wao wako kimya nguruwe mnapiga kelele tu
Sent from my vivo 1820 using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa ni unfit uwezekano wa kuendelea na kazi ni mgumu mno maana kaparalaizi.Akumbushwe kutuambia ni wapi huko alipo Rais wetu anapokaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile?
Povu kuutushachoka kila mda rais kwani babaako huyoo hata akifa??!!
unakuta hata ndugu zako wagonjwa huko hata hujawaulizia hali unaulizia mambo ya rais ambae hata akujui we nani
Mbwa wa Wema Sepetu kapotea, hebu tumtafute kwanza huyoWakuu umofia kwema?
Tangu kuanza kuenea kwa hizi tetesi tumekuwa tukiaminishwa sana na viongozi wetu watukufu kuwa tuzipuuze.
Hatua iliyopo Sasa Ni hofu kuu nchi nzima. Watanzania wote hata wasio jua mitandao ya kijamii wanasemezana kimya kimya kuhusu afya ya kiongozi wetu mtukufu!
Kwanini hofu hii iendelee pasipo sababu ya msingi. Tunawaombeni Kama mtukufu anaumwa Tuambiwe hofu Ni kubwa mno.
Kauli ya Mama Samia Leo ndio imezua hofu maradufu! PM Ameahirisha ziara amerudi jikoni.
Tunaombeni mamlaka izungumze Hali ya kiongozi wetu hofu Ni kubwa Sana mitaani bila sababu ya msingi.
... si tumeshaambiwa anapiga kazi kama kawaida? Unataka uambiwe nini tena? Unachotamani kusikia wewe kinyume na ukweli halisi?Wakuu umofia kwema?
Tangu kuanza kuenea kwa hizi tetesi tumekuwa tukiaminishwa sana na viongozi wetu watukufu kuwa tuzipuuze.
Hatua iliyopo Sasa Ni hofu kuu nchi nzima. Watanzania wote hata wasio jua mitandao ya kijamii wanasemezana kimya kimya kuhusu afya ya kiongozi wetu mtukufu!
Kwanini hofu hii iendelee pasipo sababu ya msingi. Tunawaombeni Kama mtukufu anaumwa Tuambiwe hofu Ni kubwa mno.
Kauli ya Mama Samia Leo ndio imezua hofu maradufu! PM Ameahirisha ziara amerudi jikoni.
Tunaombeni mamlaka izungumze Hali ya kiongozi wetu hofu Ni kubwa Sana mitaani bila sababu ya msingi.
Mchochezi we !!Wakuu umofia kwema?

Sawa mkuuHapana boss naogopa ban hapa jf
Mkuu Hawa binadamu wananishangaza ivi ninani ambaye atakaa milele (hatakufa) Kiukweli inaumiza Sana mtu mwenye akili zake kufanya mambo ambayo hafanani nayo.Akimaanisha kipindi hiki cha maneno maneno mengi kutoka Ubelgiji, hivyo watu washikamane , kuliko kusikiliza habari ambazo hata hao wanao zitoa awatuambii chochote cha maana, zaidi ya kuuliza maswali tuu , Rais yupo wapi ? Rais yupo ?...