IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!Hii serekali iliyofitinika imekubuhu kwa uongo. Kama Rais ni mzima ajitokeze watu wamuone kwani ugumu hapo uko wapi? Wanachofanya ni kudanganya wapumbavu wachache ambao hawajui kuhoji na ambao hawawezi kutenganisha kati ya ukweli na uongo.
Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?