Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Hii serekali iliyofitinika imekubuhu kwa uongo. Kama Rais ni mzima ajitokeze watu wamuone kwani ugumu hapo uko wapi? Wanachofanya ni kudanganya wapumbavu wachache ambao hawajui kuhoji na ambao hawawezi kutenganisha kati ya ukweli na uongo.
Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!

Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?
 
Kwani leo Kuna mtu anambughudhi mwenzake kwenye Mambo ya faragha?
Tuwaulize mabavicha, ilikuwaje mpka mgombea wao akawahakikishia kwamba wakimchagua atawaacha wavinjari tu, hawatabughudhiwa?
 
Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!

Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?
Hahahahha wewe ndo yule unayepiga kelele " yupooo yuuupo" halafu unageuka unauliza chini chini " hivi kweli yuko wapi?" Na wenzio hawajui pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yap! Yanafanyina pia mambo ya faraga maana kuna mgombea wao amekimbilia kwa amsterdam alisema wakimchagua hata wabughudhi kwenye hayo mambo yao ya faragha
"Kipindi hiki tunahitaji mshikamano kuliko kipindi chochote"
Ni kawaida kukaguliwa kaguliwa Mara mafua, mara kichwa "

Karibu kushikamana kipindi hiki ndugu
 
"Kipindi hiki tunahitaji mshikamano kuliko kipindi chochote"
Ni kawaida kukaguliwa kaguliwa Mara mafua, mara kichwa "

Karibu kushikamana kipindi hiki ndugu
Yah.. Hiyo ni kawaida kabisa!
 
Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli

"Kabla ya kuwapongeza niwasalimie salam za Rais anawasalimia, anasema tuendelee tuchape kazi, kipindi hiki tushikane tujenge mshikamano, tujenge upendo, tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu"

Baada ya salam hizo Mama Samia amewapongeza kwa kuwa na kiwanda kwani ni mkombozi.

Pia soma > Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa
Weka clip ya audio au video tukuelewe zaidi!
 
Mnamkaguaje mtu! Kwani yuko yeye ni fuko la Rambo?
Nalog off
 
Back
Top Bottom