Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Akumbushwe kutuambia ni wapi huko alipo Rais wetu anapokaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile?
Kwa sasa ni unfit uwezekano wa kuendelea na kazi ni mgumu mno maana kaparalaizi.
Naomba niishie hapo tafadhali
 
tushachoka kila mda rais kwani babaako huyoo hata akifa??!!
unakuta hata ndugu zako wagonjwa huko hata hujawaulizia hali unaulizia mambo ya rais ambae hata akujui we nani
Povu kuu
 
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’₯
 
Mbwa wa Wema Sepetu kapotea, hebu tumtafute kwanza huyo
 
... si tumeshaambiwa anapiga kazi kama kawaida? Unataka uambiwe nini tena? Unachotamani kusikia wewe kinyume na ukweli halisi?
 
Mchochezi we !!
 
Endelea kufanya kazi zako, kuwa na amani. Magufuli yupo hai sema kuonekana itachukua miezi. Hivyo chapa kazi.Magufuli si O2 .Kwamba tusipomuona basi tutakosa hewa.
 
Akimaanisha kipindi hiki cha maneno maneno mengi kutoka Ubelgiji, hivyo watu washikamane , kuliko kusikiliza habari ambazo hata hao wanao zitoa awatuambii chochote cha maana, zaidi ya kuuliza maswali tuu , Rais yupo wapi ? Rais yupo ?...
Mkuu Hawa binadamu wananishangaza ivi ninani ambaye atakaa milele (hatakufa) Kiukweli inaumiza Sana mtu mwenye akili zake kufanya mambo ambayo hafanani nayo.

Ni miaka mitatu iliopita Kuna watu waliamua kuzusha kifo juu ya mwana familia wangu kutokana tu na chuki ( figisu) lakini chaajabu waliozusha ndio wameondoka mwanafamilia wangu you buheri waafya. Nashindwa kumuelewa huyu binadamu kwamba hajui anae panga kifo?
 
Sirikali inaleta taharuki kwa kutotoa taarifa mahali aliko rais wetu kipenzi, pengine katekwa na wasiojulikana.
 
Kujipa hofu kwa rumors za hali ya Rais ni matumizi mabaya ya hofu.

Wapi huko hofu imetanda mbona kwetu hali ni shwari tu.

Rais awe mzima, mgonjwa au ,God forbid, akate kamba nini kitabadilika kwenye maisha yako?

Mna matumizi mabaya sana ya hofu.
 
Malipo yapo hapahapa kwa Earth teller. Mbinguni tunaenda kuzitumia tuu tulizolipwa.😑😑😑😑😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…