3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Asante kwa ufafanuzi mkuuWatu wagumu kuelewa, kasema kabla ya kuanza safari yake kuja tanga Alienda kumuaga na ndipo akampa salam hizo kwa wananchi wa Tanga na kwa maana hiyo Rais yuko ikulu ya Magogoni maana mh. Samia kaanzia safari yake Dar
Kwani magufuli yuko wapi?Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu John Pombe Joseph Magufuli [emoji7][emoji1241][emoji95]
Anatakiwa kuwa wapi?Kwani magufuli yuko wapi?
Leo yuko wapiii🐍Alizipuuza! Hakuna hata balozi wa nyumba kumi alimjibu,,
Magu alijisemea hiki kidampa nacho kinaongea upuuzi gani?
Tulimzoea kumuona TBCCMAnatakiwa kuwa wapi?
Umeona ndio upenyo wa kuchomokea?Nani kasema nani anaumwa? slow down and don't allow your thoughts to slip your mind
Nalaumu wote wanaohusika na kazi ya kuwalea kiweledi vijana hawa wa chama kwa kushindwa kuwalea vijana hawa kwa weledi wa kutosha kabisa! Tusingefika hapa tulipo kama wahusika wa malezi katika chama kama wangewajibika sawa sawa.Bavicha noma sana
Karibuni utajificha baada ya mwamba kujitokeza very soon. Sijui niweke picha ya leo ya Mheshimiwa!! Basi ngoja tuache kwanza kidogo ili mapovu yakutoka zaidi.Hii serekali iliyofitinika imekubuhu kwa uongo. Kama Rais ni mzima ajitokeze watu wamuone kwani ugumu hapo uko wapi? Wanachofanya ni kudanganya wapumbavu wachache ambao hawajui kuhoji na ambao hawawezi kutenganisha kati ya ukweli na uongo.
Nina clip ya leo ya Mkuu akichapakazi sijui niiweke hapa!! Lakini ngoja kwanza wanaufipa waendelee kutoa mapovu.Wiki hii Magufuli na Manunu wamejua kutuvuruga kwakweli!!!
Kazi anachapia pande zipi mzee baba?!Nina clip ya leo ya Mkuu akichapakazi sijui niiweke hapa!! Lakini ngoja kwanza wanaufipa waendelee kutoa mapovu.
TanzaniaKazi anachapia pande zipi mzee baba?!
Kwani alitakiwa awe wapi?Leo yuko wapiii[emoji216]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]tutalia sana na kucheka kwa wingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🕭🕭🕭[emoji348][emoji449][emoji397][emoji445]
Ukiwaona yeye na Manunu waambie wanatafutwa sana.Tanzania
Njoo hapa Ikulu utawaona dada!Ukiwaona yeye na Manunu waambie wanatafutwa sana.