3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Asante kwa ufafanuzi mkuuWatu wagumu kuelewa, kasema kabla ya kuanza safari yake kuja tanga Alienda kumuaga na ndipo akampa salam hizo kwa wananchi wa Tanga na kwa maana hiyo Rais yuko ikulu ya Magogoni maana mh. Samia kaanzia safari yake Dar