guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Maisha marefu kwake mhe Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akumbushwe kutuambia ni wapi huko alipo Rais wetu anapokaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado!Wahuni ni wanao badilisha matokeo ya uchaguzi.
Lissu will come soon. Dictactor has been netralised!Vipi mhuni wenu anakuja kugombea tena 2025?
Tundu Lisu atakuwa kuni motoni!
Mbona wewe sasa unajibu?Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!
Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?
Unatia aibu mtu mzima hovyo! Inaonekana wewe ni mzoefu wa hayo mambo. Hujui kwamba humu hata mkwe wako anasoma haya unayoandika? Hata kama unatumia jina bandia bado ni aibu mkwe au dada yako kusoma maandishi yako machafu. Kwani CCM mmelelewaje nyie?Tuwaulize mabavicha, ilikuwaje mpka mgombea wao akawahakikishia kwamba wakimchagua atawaacha wavinjari tu, hawatabughudhiwa?
Meko hawezi kutafuna kikiristo ndo mana kila mkutano wa nnje anawasakizia kina Samia na yule aliemuokota jalalani ndo mana hizo barua za Amstedam sio kwamba amezipuuzia sema hajui lolote lililoandikwa. Ni kama zwazwa tuMagufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!
Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?
Waambie basi wasiwakamate raia maana wanauliza tu alipo kipenzi chaoKujipa hofu kwa rumors za hali ya Rais ni matumizi mabaya ya hofu.
Wapi huko hofu imetanda mbona kwetu hali ni shwari tu.
Rais awe mzima, mgonjwa au ,God forbid, akate kamba nini kitabadilika kwenye maisha yako?
Mna matumizi mabaya sana ya hofu.
Kuna kipindi walikuwa wanaweka loud speaker jamaa anaunguruma toka huko aliko. Siku hizi tunaambiwa yupo mahali fulani anachapa kazi kama kawaida. Yupo Kuzimu? Mbona haonekani sasa.Basi hata sauti kwa njia ya simuuu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mbona hata Bashite yupo salama tu.Kwani lini hao watu walibugudhiwa nchi hii.
Lugola alisema wako salama.
Mhuni will come in 2025 to fool his supportersLissu will come soon. Dictactor has been netralised!
Vipi mhuni wenu anakuja kugombea tena 2025?
Najibu nini?Mbona wewe sasa unajibu?
Unapanic nini sasa wakati mgombea wenu ndio aliwahakikishia usalama wenu?Unatia aibu mtu mzima hovyo! Inaonekana wewe ni mzoefu wa hayo mambo. Hujui kwamba humu hata mkwe wako anasoma haya unayoandika? Hata kama unatumia jina bandia bado ni aibu mkwe au dada yako kusoma maandishi yako machafu. Kwani CCM mmelelewaje nyie?
Kwanini mkuu?Watu mna upumbavu mkubwa sana
Alizipuuza! Hakuna hata balozi wa nyumba kumi alimjibuMeko hawezi kutafuna kikiristo ndo mana kila mkutano wa nnje anawasakizia kina Samia na yule aliemuokota jalalani ndo mana hizo barua za Amstedam sio kwamba amezipuuzia sema hajui lolote lililoandikwa. Ni kama zwazwa tu