Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Mama Samia Suluhu: Rais anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

Akumbushwe kutuambia ni wapi huko alipo Rais wetu anapokaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile?

Watu wagumu kuelewa, kasema kabla ya kuanza safari yake kuja Tanga Alienda kumuaga na ndipo akampa salam hizo kwa wananchi wa Tanga na kwa maana hiyo Rais yuko Ikulu ya Magogoni maana mh. Samia kaanzia safari yake Dar
 
Wahuni ni wanao badilisha matokeo ya uchaguzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado!

Mmemsikia mwenzenu Bob Wine huko Uganda? Mmeona anafanya uhuni kama nyie? Yuko serious anajua nini anafanya sio kama nyie hapa mpo mpo tu
 
Watu Wote walio na shauku ya kutaka kujua Rais yuko wapi ni wanafiki na wazandiki wakubwa...lengo lao si kwa nia njema bali wanataka kusikia habari mbaya ya Rais wetu na si vinginevyo ....these are big idiots
 
Namwona mama Samia moyoni akijisemea "Ila Mungu atusaidie mbeleni tusionekane waongo na watu wakatushangaa"
 
Tufanye kuna jamii inaitwa XY, halafu X anapotea ghafla na taharuki kubwa inaingia katika jamii ya XY, halafu Y anaanza kuuliza alipo X. Hivi kati ya X na Y ni nani anatakiwa kushitakiwa kwa kuzusha taharuki katika hiyo jamii?
 
Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!

Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?
Mbona wewe sasa unajibu?
 
Tuwaulize mabavicha, ilikuwaje mpka mgombea wao akawahakikishia kwamba wakimchagua atawaacha wavinjari tu, hawatabughudhiwa?
Unatia aibu mtu mzima hovyo! Inaonekana wewe ni mzoefu wa hayo mambo. Hujui kwamba humu hata mkwe wako anasoma haya unayoandika? Hata kama unatumia jina bandia bado ni aibu mkwe au dada yako kusoma maandishi yako machafu. Kwani CCM mmelelewaje nyie?
 
Magufuli hajawahi kupoteza muda kujibizana na wahuni!

Hata kale kabeberu kenu ka amsterdam kaliandika barua wee, lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji aliepoteza muda kukajibu, sembuse hawa wahuni wa huko Twitter?
Meko hawezi kutafuna kikiristo ndo mana kila mkutano wa nnje anawasakizia kina Samia na yule aliemuokota jalalani ndo mana hizo barua za Amstedam sio kwamba amezipuuzia sema hajui lolote lililoandikwa. Ni kama zwazwa tu
 
Kujipa hofu kwa rumors za hali ya Rais ni matumizi mabaya ya hofu.

Wapi huko hofu imetanda mbona kwetu hali ni shwari tu.

Rais awe mzima, mgonjwa au ,God forbid, akate kamba nini kitabadilika kwenye maisha yako?

Mna matumizi mabaya sana ya hofu.
Waambie basi wasiwakamate raia maana wanauliza tu alipo kipenzi chao
 
Basi hata sauti kwa njia ya simuuu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kuna kipindi walikuwa wanaweka loud speaker jamaa anaunguruma toka huko aliko. Siku hizi tunaambiwa yupo mahali fulani anachapa kazi kama kawaida. Yupo Kuzimu? Mbona haonekani sasa.
 
Unatia aibu mtu mzima hovyo! Inaonekana wewe ni mzoefu wa hayo mambo. Hujui kwamba humu hata mkwe wako anasoma haya unayoandika? Hata kama unatumia jina bandia bado ni aibu mkwe au dada yako kusoma maandishi yako machafu. Kwani CCM mmelelewaje nyie?
Unapanic nini sasa wakati mgombea wenu ndio aliwahakikishia usalama wenu?
 
Meko hawezi kutafuna kikiristo ndo mana kila mkutano wa nnje anawasakizia kina Samia na yule aliemuokota jalalani ndo mana hizo barua za Amstedam sio kwamba amezipuuzia sema hajui lolote lililoandikwa. Ni kama zwazwa tu
Alizipuuza! Hakuna hata balozi wa nyumba kumi alimjibu

Magu alijisemea hiki kidampa nacho kinaongea upuuzi gani?
 
Back
Top Bottom