Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi.
Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa Ardhi.
Wafanyakazi chini ya Idara hii wana ukiritimba wa kutisha, ili kutengeneza mazingiraya rushwa.
Watu wengi wamedhulumiwa kwa kupindisha taratibu zaumiliki wa Adhi, ili tu aliyetoa rushwa apewe Ardhi isiyokuwa yake.
Mimi meenyewe nimedhulumiwa kiwanja Tegeta enzibza Kamishna wa Ardhi aitwaye Maththew hapa DSM. Nikaenda na kuzushiwa kesi yakughushi nyaraka wakati ukweli ni kwamba nyaraka zangu zilinyofolewa hukohuko ofisi ya Ardhi na kubandikwa za aliyetoa rushwa.
Hivyo namuunga mkono mama Samia katika kuisafisha Wizara ya Ardhi na kuondoa ufisadi.