assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Anayefurahia yanayoendelea katika taifa hili kwa Sasa,ambayo pia ni mwendelezo wa awamu tangulizi,kwa yakika halitakii mema taifa hili.Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.
Najua unapita hapa kusoma thread.
Ni hatari sn mkuuAnayefurahia yanayoendelea katika taifa hili kwa Sasa,ambayo pia mia mwendelezo wa awamu tangulizi,kwa yakima halitakii men's taifa hili.
Hakuna kufuta vyama vya upinzani.Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.
Najua unapita hapa kusoma thread.
Mnadhani rais yupo kwaajili ya kusoma post zenu hapa jf!Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.
Najua unapita hapa kusoma thread.
Natafuta neno zuri lakukuambia ila bado sijapata.Hakuna kufuta vyama vya upinzani.
- Polisi watakosa kazi, maana kuna watu mili yao inawasha.
- Kina Mbowe, Sugu, Msigwa, Mnyika, Lissu wangetajirika vipi bila vyama vya siasa
- Waandishi wa habari watakosa matukio yenwyw msisimko pale nyumbu wanapokuwa wanagongwaaa visago heavy.
Kwahiyo tuendeleeee
Mama alianza vizuri kuliponya taifa wengi wametoka magerezani, mdude,mashehe,set na wengine wengi a good start ila sasa anakoelekea namshauri asiende Kwan kutaliweka taifa katika mivutano isiyo na faidaAnaogopa kunyima misaada, huyu maza ni katili kuliko hata shetani
Sio mama tu bali ni mfumo mzima wa ccm wanaogopa kitu kuondoka madarakani, ccm ni cancer, nawashangaa wanaotegemea uchaguzi kuiondoa ccm madarakani, kwani walishatamka wazi kuwa ccm hawawezi kutoa madaraka kwa njia ya kura hayo mamifumo ya vyama vingi ni usanii tu, kama wanachofanyiwa znz au wale wanapigwa na kupotezwa kwa kuongea ukweli au kuekwa ndani kwa kesi za ugaidi mkadhani kuwa ni kweli wana kesi basi mjue ni drama, linapokuja suala la ccm kutoka madarakani basi wako taari kuuwa ilimradi wabaki madarakani, ugaidi wa ccm haukuanza leo bali umeanza tokea 1964 katika visiwa jirani na historia inathibitisha hivyoAnaogopa kunyima misaada, huyu maza ni katili kuliko hata shetani
Hakika umenena vizuri sana.Nadhani badala ya kugombana km taifa Bora tuwe na chama kimoja kuliko kuwa na unafiki na kuumiza wengine kwa kisingizio cha vyama
Ukiwa chama kimoja ndo mtagombana sana maana kutajitokeza ccm wasukuma, ccm wanyakyusa na wengine wengineNadhani badala ya kugombana km taifa Bora tuwe na chama kimoja kuliko kuwa na unafiki na kuumiza wengine kwa kisingizio cha vyama
Wewe naona ni wa kuja.Hakuna kufuta vyama vya upinzani.
- Polisi watakosa kazi, maana kuna watu mili yao inawasha.
- Kina Mbowe, Sugu, Msigwa, Mnyika, Lissu wangetajirika vipi bila vyama vya siasa
- Waandishi wa habari watakosa matukio yenwyw msisimko pale nyumbu wanapokuwa wanagongwaaa visago heavy.
Kwahiyo tuendeleeee
HatariHawataki kuvifuta coz wanavitumia kama ngazi ya kupata misaada toka kwa nchi wahisani Tanzania ionekane ina demokrasia ya vyama vingi, kumbe ni maigizo matupu.