Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hata akifuta sisi tutaendelea kudai katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupuTena yauzwe hela zikatatue kero za wananchi
Si mlikuja na mkwara kuwa mtatumia wembe ule ule mletegemea rais akae kimya? Piga spana tu.Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.
Najua unapita hapa kusoma thread.
Mkuu, kwa nini unampa ushauri mbaya kiasi hiki; ina maana kwamba umekata tamaa kabisa juu yake kuhusu yale mapenzi ya mwanzo?Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.
Najua unapita hapa kusoma thread.
Makundi mangapi amekutana nayo,Pemba huko mikusanyiko ilikuwepo kwenye kampeni,CCM kila uchwao wanakusanyika.korona haikuwepo ila vyama vingine vinasababisha korona.Tuache unafiki wakumpamba,pakichafuka wataumia ndugu zetu hata yeye ataishi kiuadui kisa vyama.Mkuu, kwa nini unampa ushauri mbaya kiasi hiki; ina maana kwamba umekata tamaa kabisa juu yake kuhusu yale mapenzi ya mwanzo?
Mpe ushauri mzuri, pengine atakusikiliza.
Huu ushauri uliompa ni kama unatoka kwa mtu adui yake mkubwa sana kwake anayetaka kumharibia kila kitu.
Mkuu Kabugula, nina hakika hukunielewa nilivyomjibu mkuu 'AssadySyria' kuhusu ushauri wake kwa rais.Makundi mangapi amekutana nayo,Pemba huko mikusanyiko ilikuwepo kwenye kampeni,CCM kila uchwao wanakusanyika.korona haikuwepo ila vyama vingine vinasababisha korona.Tuache unafiki wakumpamba,pakichafuka wataumia ndugu zetu hata yeye ataishi kiuadui kisa vyama.
FUTA VYAMA KIBAKI KIMOJA,BUNGE LINATOSHA KUPITISHA AGENDA KWA DHARULA.Kongamano lilikuwa sawa na walevi wanakunywa wakilewa wanaondoka.
Hakuna MTU alikuwa busy kusikia Mwanza kuna nini.USHAMBA WA MADARAKA
Nilikuelewa,kufuta nikukazia aone uzito wa jamboMkuu Kabugula, nina hakika hukunielewa nilivyomjibu mkuu 'AssadySyria' kuhusu ushauri wake kwa rais.
Kutokana na jibu lako hapa, ni wazi tupo sehemu moja.
Ushauri wa kufuta vyama kwa sasa ni ushauri mbaya kabisa, tena usio na tija kwa nchi.
Kufuta vyama ndiko pengine kutachochea zaidi kuondoka kwa CCM mapema sana, licha ya kwamba Samia hana huba ya kufanya kitu kama hicho.
Si ndipo atakapokuwa ameharibu kabisa, maana AssadSyria alieleza kwamba alikuwa na mapenzi naye mama.Nilikuelewa,kufuta nikukazia aone uzito wa jambo
Katumia fumbo tu na fasihi ili mama ajichanganye zaidi.Si ndipo atakapokuwa ameharibu kabisa, maana AssadSyria alieleza kwamba alikuwa na mapenzi naye mama.
Huwezi kumshauri mpenzi wako jambo ambalo litamharibia zaidi, au sio?
Uhalali wa hao wabunge je ulipatikanaje.Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na usiependa uonevu na udikteta.
Najua unapita hapa kusoma thread.