Mama Sinyali Boss la Kariakoo

Tajiri usijulikane maana naona wengi tunajiuliza mbona mtu mwenyewe hatumjui! Mtu kakazana tu tajiri,tajiri!

Matajiri wa kariakoo unawajua?

JITAHIDI utofautishe matajiri na watu maarufu

Kuna watu hela zao wanazifinya kimya kimya hawana kelele
 
Jana kwenye watsap status yangu nilipost meme ya huyu mama sasa kuna sister mmoja mshkaji wangu akaiona akanitext like see hapo chini [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2627954

Kuna siku mzigo wake umekamatwa na wale Tigo wanaoshirikiana na TRA

Aliongea mpaka akaanza kuvua nguo
Sijui walimalizaje [emoji28][emoji28]
 
Nimeona clip anasema kazaa na mtu tajiri,ambae hamsaidii kutunza mtoto.Wewe Tajiri msaidie Sinyaa kutunza mtoto.

Mtoto Yule anahitaji matunzo ya baba?

Au matunzo ya mume ambae amemkataa ameamua kula wanawake wenzake?

Hata baba mwenyewe anaogopa
 

Aache sound
 
Na hapo kakonda.

Hawa washenzi sio wa kucheka nao na ni aibu kutetea ukwepaji Kodi wa wafanyabiashara kama Chadomo wanavyotaka iwe..

Nimeanza kuelewa Kwa nini Mwendazake aliwanyoosha Hawa wapuuzi, wametangaza mgomo wa kipuuzi Kwa kushirikiana na Chadomo na eti Serikali inawachekea.
 
Puto tena,si alisema hapo kakonda Kwa ishu za TRA au? Ndio anenepe Sasa 🤣🤣
 
Namjua vizuri sana huyu mama zaidi ya kuuza vipodozi vya haramu ,hana kitu yoyote uyo!!

Anawadanganya danganya watu kwenye social media.
 
So what
 
Achana na huyo Sinyali, kuna mama mmoja ni shombeshombe hivi, huwa anaingiza container hata 50 za vitenge kwa pamoja, alikua anapesa acha mchezo. Gari yake huwa alikua anapaki pale central police Dar na haiguswi. Anaweza kupaki katikati ya barabara akiwa anaongea na mtu au na simu. Kipindi cha mwendazake katikati alipotea sijui yupo wapi Siku hizi. Kariakoo iangalie hivi hivi, inamambo usiyoyajua.
 
Nje ya mada: yule mama pekee upande wa wafanybiashara katika Kamati aliyounda Waziri mkuu si ndiye huyu anayezungumziwa katika sredi hii hapa chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…